laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
kuna wabunge wa CHADEMA nao wamesusiaCcm nao kumbe wanaweza kususia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna wabunge wa CHADEMA nao wamesusiaCcm nao kumbe wanaweza kususia?
Kama alimwambia in private, akamwambia kwenye vikao vyao. Hakufuata, basi i support him kumchana hadharani, sababu ili aki ignore again, he would be fired and people would overstand.Naomba isomeke vizuri, sijasema sikubaliani na magufuli, bali nimesema sikubaliani na magufuli katika suala la kuwakoromea viongozi mbele ya kadamnasi. Kuna tofauti kubwa hapo kati ya kauli hizo mbili! Kuna mambo namkubali magu na kuna mambo sikubaliani naye, mfano ni hili!
Sasa tukirudi kwenye hoja, kwa mfano huo huo wa mwijage, bado sio busara au niseme suruhisho kumwambia hadharani. Kwanza mambo wanayoambizana kwenye baraza la mawaziri hayatakiwi kuwa disclosed, Sasa kwa nini atwambie sisi hata anayowaambia huko?
Kama anaona waziri hafanyi anayomwagiza ni vyema akamtoa kwenye huo wadhifa. Hakuna mtu atamhoji akifanya hivyo.
Kwa hivi sasa wananchi wa kawaida ni vigumu kuona umuhimu wa bunge hili kwasababu shughuli nyingi za kibunge zina husu serikali zilizo ndani ya jumiya, mfano kujenga ofisi moja mipakani, ujenzi wa reli na barabara za kuunganisha nchi wanachama nk. Lakini miaka michache ijayo wananchi wakawaida wataanza kuona umuhimu wa hichi chombo pale kitakapoanza kutunga sheria zinazo gusa maisha ya kila raia wa jumuiya. Vitu kama hati moja ya kusafiria, ufanyaji biashara kwa nchi zote wanachama, sarafu moja, elimu moja, siasa hata haki za msingi za kila raia wa jumuiya nk.
Sasa wewe mimi nimeeleza kile alichozungumza mjumne toka Tanzania mbele ya vyombo vya habari, kama wewe unajua zaidi ya kile kilichozungumzwa tuambie, ila kama unatafsiri vile kichwa chako kinavyofikiria, hiyo ni haki yako ya kufanya hivyo kwasababu kila mtu anaweza kutafsiri apendavyo kulingana na uwezo wake wa kufikiria, ila mimi sijatafsiri nimeeleza alichosemaUtafanya mambo ya chama bila kuwa na base ya chama? We unadhani kwa nini Zungu aliagizwa aende huko? Halafu umesikia utetezi wao? Eti kwa sababu baadhi ya wakuu wa nchi hawaelewani, hivyo speaker toka Tanzania ange balance mambo.
Huo utaratibu wa kuchanana hadharani ndo hautakiwi, hii ni system ina taratibu zake. Ni vyema sana zikawa zinafuatwa!Kama alimwambia in private, akamwambia kwenye vikao vyao. Hakufuata, basi i support him kumchana hadharani, sababu ili aki ignore again, he would be fired and people would overstand.
Kulikoni kufanya sirini alafu umtimue hadharani pasipo kueleweka na umatu mkubwa wa uma
So am with Magufuli on that
Uyasemayo ndio msingi hasa wa hili Bunge, Lakini kusema ukweli Serikali zetu zinamalengo tofauti sana, East Africa hatuko pamoja kabisa, yaani nchi za East Africa haitabiriki kabisa, leo nchi iko hivi kesho vile
Akili za watz wanazielewa wenyewe. Sasa haya mambo yao ya ndani kwa ndani ndo wanaona swag kuanika hadharani? Wakati siasa zenyewe peni mbili bado sana.
Wacha habari za kupotosha ....hebu leta evidence kutoka kwenye official media zinazoonyesha wamesusa......tunawaitJust in!
Wasifu wa Martin Ngoga to follow soon.
Statements zako ni very conclusive, kwama huo utaratibu wa kumchana hadhari ndio hautakiwi, unamsemea nani?, sema ndio siupendi jisemee wewe mwenyewe, au kama kuna sheria iliyokataza hivyo, tujulishe na sisi tufahamu, ila kama ni maoni yako tu, ni haki yako ya kuyazungumza, lakini wapo wengi pia wanaounga mkono njia hiyo, ili kufikisha ujumbe kwa wale wengine ambao wakiambiwa in private bado hawatekelezi, kwa upande wangu sioni tatizo lolote kwa rais au kiongozi mwengine kumuambia au kumuagiza msaidizi wake hadharani kuwanyang'anya viwanda visivyofanya kazi na kuwapa watu wengine wenye uwezo, huo usiri hapo ni wanini?Huo utaratibu wa kuchanana hadharani ndo hautakiwi, hii ni system ina taratibu zake. Ni vyema sana zikawa zinafuatwa!
Sasa unaunga mkono suala la kumchana hadharani kisa kaambiwa mara mbilibsijui ngapi hajatekeleza, ili awafurahishe wananchi au iweje!; Ndo maana nikasema akiona hafanyi inavyotakiwa basi amvue wadhifa wake, hakuna atakayehoji.
Tatizo haujanielewa unapotoa taarifa toa na evidence zake ili msomaji aweze pata uhakika na taarifa husikaIlikuwa live kwenye TV we nawe
Tatizo ulikuwa unaangalia likikao la chama lenu badala ya kufuatilia mambo ya muhimu.
Rt.Hon Ngoga takes mantle as Speaker of EALA —East African Legislative AssemblyTatizo haujanielewa unapotoa taarifa toa na evidence zake ili msomaji aweze pata uhakika na taarifa husika
Ambieni viongozi wenu waache uswahili. Wakenya huo upuuzi wote waliufanyia hukuhuku Kenya, bungeni. Ukiona waakilishi wetu ndo utaelewa. Hiyo EALA ina kibarua kigumu sana.Mficha uchi hazai, bora tuwaanikie mjuwe bivu na mbichi. 😀😀😀
Unachokizungumza ni tofauti na uhalisia, 2/3 ni idadi ya wajumbe kuwepo ili uchaguzi uweze kufanyika"quorum", wajumbe waliokuwepo jumla ni 36, Burundi wote walikuwepo na Tanzania walikuwepo 2 tu, kwahiyo kwasababu quorum ilitimia, uchaguzi uliendelea na Speaker alipatikana halali bila chenga.Rt.Hon Ngoga takes mantle as Speaker of EALA —East African Legislative Assembly
Soma hiyo taarifa rasmi kwenye ukurasa wao.
Wabunge wote wa Burundi na Tanzania walitoka nje na wenzao wakaamua kuendelea na uchaguzi bila wao.
Ili mtu kuchaguliwa kuwa spika lazima apate 2/3 ya kura zote na Ngoga alipata 36/54. 18 zilizokosekana ni 9 za Burundi na 9 za Tanzania. Kila nchi ina wabunge 9.
Unachokizungumza ni tofauti na uhalisia, 2/3 ni idadi ya wajumbe kuwepo ili uchaguzi uweze kufanyika"quorum", wajumbe waliokuwepo jumla ni 36, Burundi wote ha wakuwepo na Tanzania walikuwepo 2 tu, kwahiyo kwasababu quorum ilitimia, uchaguzi uliendelea na Speaker alipatikana halali bila chenga.Rt.Hon Ngoga takes mantle as Speaker of EALA —East African Legislative Assembly
Soma hiyo taarifa rasmi kwenye ukurasa wao.
Wabunge wote wa Burundi na Tanzania walitoka nje na wenzao wakaamua kuendelea na uchaguzi bila wao.
Ili mtu kuchaguliwa kuwa spika lazima apate 2/3 ya kura zote na Ngoga alipata 36/54. 18 zilizokosekana ni 9 za Burundi na 9 za Tanzania. Kila nchi ina wabunge 9.
Ninayetoa haya maoni ni mimi, na kila ninaloliongea hapa ni mtazamo wangu binafsi. Hivyo sio sahihi kusema kauli yangu ni conclusive wakati mimi natoa maoni kama raia wa kawaida!Statements zako ni very conclusive, kwama huo utaratibu wa kumchana hadhari ndio hautakiwi, unamsemea nani?, sema ndio siupendi jisemee wewe mwenyewe, au kama kuna sheria iliyokataza hivyo, tujulishe na sisi tufahamu, ila kama ni maoni yako tu, ni haki yako ya kuyazungumza, lakini wapo wengi pia wanaounga mkono njia hiyo, ili kufikisha ujumbe kwa wale wengine ambao wakiambiwa in private bado hawatekelezi, kwa upande wangu sioni tatizo lolote kwa rais au kiongozi mwengine kumuambia au kumuagiza msaidizi wake hadharani kuwanyang'anya viwanda visivyofanya kazi na kuwapa watu wengine wenye uwezo, huo usiri hapo ni wanini?
Burundi hawakuwepo ni waziri wao tu na Tanzania pia alikuwepo Dr. Kolimba (ambaye ni ex officio so hawezi piga kura) na Maghembe plus Makame na wote walitoka nje uchaguzi ulipoanza.Unachokizungumza ni tofauti na uhalisia, 2/3 ni idadi ya wajumbe kuwepo ili uchaguzi uweze kufanyika"quorum", wajumbe waliokuwepo jumla ni 36, Burundi wote walikuwepo na Tanzania walikuwepo 2 tu, kwahiyo kwasababu quorum ilitimia, uchaguzi uliendelea na Speaker alipatikana halali bila chenga.
Ok, sasa nimekuelewa kwamba unahisi haufai, ila mimi ninaona unafanya kazi na kufikia malengo yanayokusudiwa, japo ni kweli kwamba sio njia nzuri kutumika mara zote, ila kumbuka duniani kote kuna njia nyingi tu za kufanya watu wawajibike, Kikwete alitumia njia kama hizo unazopendekeza za kiuungwana matokeo yake tuliyaona, subiri kidogo jamaa awanyooshe kidogo ili wajue kwamba business in unusual nowdays.Ninayetoa haya maoni ni mimi, na kila ninaloliongea hapa ni mtazamo wangu binafsi. Hivyo sio sahihi kusema kauli yangu ni conclusive wakati mimi natoa maoni kama raia wa kawaida!
Hata hivyo bado narudia kusema huo utaratibu haufai, haijalishi ni wake binafsi au ni sheria; Maana hata ikiwa sheria kuna mda inaonekana inahitaji kubadilishwa kuendana na mahitaji.
Msingi wangu uko kwenye kufanya kazi kama mfumo badala ya mtu mmoja mmoja,
Nimekupata, idadi ya wajumbe walikua 36 na ili akidi ifikiwe nimlazima wafike 37, ila wajumbe waliamua kuendelea kwasababu ilionekana wajumbe wa Tanzania na Burundi waliamua kutokuwepo ili kukwamisha uchaguzi usiendelee kwasababu walishanusa kushindwa, tunarudi kule kule, Tanzania waliweka mgombea wanini wakati sio zamu yetu?, na hawa Burundi kwanini waligoma kwenda wakati mgombea wao alikuwepo?Burundi hawakuwepo ni waziri wao tu na Tanzania pia alikuwepo Dr. Kolimba (ambaye ni ex officio so hawezi piga kura) na Maghembe plus Makame na wote walitoka nje uchaguzi ulipoanza.
Secretary General wa EAC ambaye anatokea Burundi naye alitoka nje.