wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Waliozoea kunyonga kamwe hawawezi kuacha kunyonga,washamba sana hadi wanatia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu mjadala wetu ni mzuri sana, natamani kuendelea kuandika khs hoja ulizozitoa lakini roho inanisuta kuwa tumeparamia uzi! Hivyo kuendelea kuongea hoja hii ya magufuli hapa sio ustaarabu.Nadhani tunakwenda vizuri. Kwanza ninaomba tukubaliane kwamba mambo yanaenda kama anavyotaka yeye, ile kauli kwamba hayaendi ninaomba uachane nayo, sasa kuhusu huyo waziri aliyetoa ahadi na hakujiuzulu, ndiyo hao vichwa ngumu ambaa Magufuli anawatafuta, kumbuka waziri wa Maji na umwagiliaji alipotoa ahadi kule Lindi kwamba maji yangetoka kabla ya muda flani, Magu aliwaambia wananchi yasipotoka atamuwajibisha waziri, na ndicho kilichotokea, kwa hiyo mawaziri wengine wanajua kwamba ukitoa ahadi mbele ya rais na usipotimiza utatumbuliwa, inatuma ujumbe mzito kwa mawaziri wengine.
Ninarudia kusema, hii sio njia nzuri, lakini kama kuna mawaziri wanaambiwa in private na hawasikii wala kujirekebisha, ina maana hawajiheshimu na hawawajibiki, kwahiyo kukoromewa hadharani ni sehemu ya punishment, akiendelea atafukuzwa kazi, na kama anadhani amedhalilishwa, basi ajiuzulu ili asidhalilishwe tena.
Mimi sikubaliani na Magufuli katika masuala ya demokrasia, hasa kuminya uhuru wa vyama vya siasa, lakini katika utendaji yupo vizuri sana, hana tofauti sana na Kagame, nani anapinga kwamba Kagame anafanya vizuri katika maendeleo japo wanyarwanda wanaishi kwa hofu kubwa, kuanzia Janeth Kagame hadi mwanafunzi wa chekechea hakuna asiye na hofu, ila nchi inapiga hatua za maendeleo, Japo Magufuli hajafikia huko, lakini anaelekea huko.
Endorsed[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuu huu mjadala wetu ni mzuri sana, natamani kuendelea kuandika khs hoja ulizozitoa lakini roho inanisuta kuwa tumeparamia uzi! Hivyo kuendelea kuongea hoja hii ya magufuli hapa sio ustaarabu.
Nadhani tutakutana sehemu nyingine muafaka, tukikosa basi tuanzishe uzi maalum tujadili hili!
Kwa sasa tuupe nafasi mjadala wa uspika wa EALA uendelee.
Bunge linatakiwa kuwa huru kama alivyosema Susan Nakawuki wa Uganda. Alipinga pendekezo lililotolewa na mawaziri la kuwaachia marais watoe muafaka.Suala ni mazungumzo , bila shaka mawaziri wakikutana mambo yatakaa vizuri sana.
Sometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid
Nakubaliana kabisa na wewe kuhusu wabunge wengi kufuata upepo, liwe lile la muungano au hawa wa EALA.
Lakini kwa upande wa magufuli jinsi anavyowaburuza mawaziri kwenye kadamnasi, hapo niko tofauti kidogo! Hiyo siyo style nzuri ya kuongoza! Awape makavu huko kwenye baraza la mawaziri, na ajenge mfumo mzuri.
halina faida kwanza kila nchi ile kwa urefu wa kamba yake......EA mabobo!! nchi zenyewe zinafanyiana visa kila kukichahivi hili bunge linatusaidia nini sisi watu wa afrika mashariki,embu nijuzeni wadau...