Martin Ngoga wa Rwanda achaguliwa Spika Bunge la Afrika Mashariki. Tanzania na Burundi wasusia uchaguzi huo

Waliozoea kunyonga kamwe hawawezi kuacha kunyonga,washamba sana hadi wanatia aibu
 
Mkuu huu mjadala wetu ni mzuri sana, natamani kuendelea kuandika khs hoja ulizozitoa lakini roho inanisuta kuwa tumeparamia uzi! Hivyo kuendelea kuongea hoja hii ya magufuli hapa sio ustaarabu.

Nadhani tutakutana sehemu nyingine muafaka, tukikosa basi tuanzishe uzi maalum tujadili hili!

Kwa sasa tuupe nafasi mjadala wa uspika wa EALA uendelee.
 
Endorsed[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Suala ni mazungumzo , bila shaka mawaziri wakikutana mambo yatakaa vizuri sana.
Bunge linatakiwa kuwa huru kama alivyosema Susan Nakawuki wa Uganda. Alipinga pendekezo lililotolewa na mawaziri la kuwaachia marais watoe muafaka.
BUNGE ni BUNGE na EXECUTIVE ni EXECUTIVE.
 
Sometimes kuna watu vichwa vyao havifanyi kazi, sababu ya Tanzania kutaka kuwa na mgombea wa kiti cha Speaker ni ipi wakati sio zamu yetu?..stupid

Walienda na kibwagizo cha ‘ safari ni ile ile mbele kwa mbeleeee’ wakasahau kuwa ni muhula mwingine wa Dr Magufuli, sheria ni msomeno.
 

Rais Magufuli yupo sahihi, mawaziri au viongozi wengi hapa bila kuburuzwa hawafanyi kazi bila kusukumwa. Rais Mkapa na Kikwete waliwaachia wafanyekazi bila kufuatiliwa angalia yaliyotokea, mtu mzima anaweka pesa Bank nje ya nchi na kusema ni vijisenti lakini angalia walichomfanyia. Wizi na ufisadi ulizidi mno mno. Magufuli = Mwl Nyerere, mwacheni aunde (remodel) taifa lenye maadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…