Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.

Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.

IRAN IMEKIRI:
  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Viwanda vya makombora vimelipuliwa
  4. Viwanda vya drones vimelipuliwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.

Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran

1730037750464.png

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
 
IRAN IMETHIBITISHA:

1) askari wake 4 wameuawa
2) Radar zake zimeteketezwa
3) Kiwanda cha makombora kimetekezwa
4) Kiwanda cha drones kimeteketezwa

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.

Pichani ni mrembo akiwa kaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran

View attachment 3136505

View attachment 3136507
Huku ni kudhalilishwa kulikopita maelezo, Iran imepigwa na wanawake!
 
Usiwe mwepesi wa kujaji mambo,mda utaongea
Muda ushaongea, Iran ilirusha makombora 200 hakuna mu Israel hata moja alieuawa

Israel imetuma watoto wa kike wakajipigie na kweli wamepiga,

Iran walianza kusema wanajeshi wawili, jana wanne, inawezekana ni wengi zaidi wanaogopa aibu ya kupigwa na watoto wa kike
 
IRAN IMETHIBITISHA:

1) askari wake 4 wameuawa
2) Radar zake zimeteketezwa
3) Kiwanda cha makombora kimetekezwa
4) Kiwanda cha drones kimeteketezwa

Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel

Adiosamigo Ukiwa Tandale kwa Mtogole na mwenzio Ritz manzese kwa mfuga mbwa.
 
Muda ushaongea, Iran ilirusha makombora 200 hakuna mu Israel hata moja alieuawa

Israel imetuma watoto wa kike wakajipigie na kweli wamepiga,

Iran walianza kusema wanajeshi wawili, jana wanne, inawezekana ni wengi zaidi wanaogopa aibu ya kupigwa na watoto wa kike
Hao watoto wakike ni marubani au sio marubani tuanzie hapa kwanza we muisrael wa bonyokwa
 
Inasemekana Iran hawatakuwa na uwezo wa kutengeneza makombora ya masafa marefu labda waimport kutoka nje.
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi
 
IRAN IMETHIBITISHA:
  1. askari wake 4 wameuawa
  2. Radar zake zimeteketezwa
  3. Kiwanda cha makombora kimetekezwa
  4. Kiwanda cha drones kimeteketezwa
  5. Hakuna ndege yoyote ya Israel waliyoweza kuishusha
Al Jazeera: Iran says four soldiers killed, radar systems hit in Israeli strikes

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.

Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.

Soma Pia: Iran Yatangaza Ongezeko la Vifo Kutokana na Mashambulizi ya Israel
Ndege zilizotangazwa kuwa hewani zilikiwa 100!

Kuhusu madhila wala hatukutaka story si tukitaka clip za vyuma vikishuka angani kama ilivyokawa October 1 pale Israel
 
Back
Top Bottom