wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024 Israel ilituma marubani (wakiwemo mabinti) wa ndege za kijeshi Iran kufanya operesheni iliyopata mafanikio makubwa na marubani wote walirejea salama bila bugudha, Baada ya operesheni Israel ikawaambia Iran "Msijibu" , hadi muda huu wameonyesga kutii amri.
IRAN IMEKIRI:
Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
Radar zake zimeteketezwa
Viwanda vya makombora vimelipuliwa
Viwanda vya drones vimelipuliwa
Bonus Wanajeshi wote wa Israel walirudi salama, hakuna ndege hata moja ambayo Iran ilifanikiwa kuidhibiti.
Ila wayahudi wapo na jeuri sana, hivi kweli ndio wametuma wanawake kwenda kujipigia ? ingekuwaje wangetuma wazee wa kazi wanaoua wakuu wa Hamas, Hezbollah, n.k. ? waliochpfanya Israel ni dharau kubwa sana kwa Iran
Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Kwa kanuni ya ladies first si ajabu walipewa kipaumbele maalum kuachiwa nafasi kuwaua wanajeshi wa Iran.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran
Acheni kuwa lango la propaganda za wayahudi na wafursi wenyewe wanajua mchezo wanaoucheza, ishughulishe akili yako kuwatafutia watoto wako kesho iliyo njema.

Marubani wa kike walipewa nafasi kushiriki operesheni, Iran imekiri kupoteza wanajeshi wanne.
Picha + video : binti wa jeshi la anga la Israel akiwa anaingia kwenye ndege ya vita tayari kwa kuanza safari kuelekea Iran kuwadungua wanajeshi wa Iran.
Hakuna kitu kama hicho,wamepiga kiwanda cha kutengeneza mafuta ya makombora,rada mbili,ambapo moja ilitengenezwa jana hiyohiyo na nyingine ilihitaji matengezo zaidi