jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Tanzania unafiki tumezid jpm mamlaka alikuwa NATO Ila huyu mama hana? Najielewa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija huku chozi na kamasi likimtiririka tunamsulubu vizuri zaidi Hadi atakapojua kama maharage nayo ni mboga.Subiri mumeo abambikwe
Tatizo una fikiri kila mtu humu ana mume kama ulivyo wewe!Subiri mumeo abambikwe
You're shortsighted ( umpe mtu kazi halafu afanye tofauti na matakwa yako !! Yaani kama Dada wa kazi nyumbani kwako anaweza kufanya tofauti na utakavyo? )Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke kwa kila mtu ila haiwezi kamwe kuingilia uamuzi wa mahakama ambayo ni mhimili mwingine kabisa. Kama ulitenda kosa utahukumiwa kwa stahiki yake, kama hukutenda basi utahukumiwa hivyo hivyo. Serikali kazi yake ni kusisitiza utawala bora na wa sheria.
Mambo ya kusema kua Rais ametia mkono wake kuhusu kukamatwa kwa flani flani eti kwa sababu alikua kiongozi ni maneno yaliyokosa staha kwa kiongozi wa nchi. Kama ulikosa wewe basi hiyo ni juu yako na mzigo wako, kamwe serikali haiwezi kuhusika na wewe. Haki yako iko mahakamani kama inavyoelekeza katiba ya nchi.
Kuhusu Mama kuhojiwa na BBC Kisha kutoa majibu kuhusu shauri la Mhe Mbowe na wenzake, alivyojibu ndiyo anavyojua yeye,ndizo taarifa alizopewa na vyombo husika, kama vyombo havikumpa ukweli basi mahakama itathibisha. Pia kuhusu suala la Sabaya serikali inahusikaje na matendo yake ya kinyume na sheria? Mnataka imbebe mtu anayevunja sheria? Kila mtu atabeba mzigo wake na atahukumiwa nao yeye. Hujaridhika basi kata rufaa bado utapata stahiki yako.
Tusimlaumu Mhe Rais bure kuhusu maamuzi ya mahakama, kama watakosea polisi hiyo ni wao wenyewe na makosa yao, kama atakosa DPP huyu ni yeye na weledi wake, kama itakosa mahakama basi ni yenyewe na mapungufu yake. Rais hana mamlaka na kutoa maamuzi ya kesi ya mtuhumiwa yeyote, anayo mamlaka ya kutoa vibali vya kusamehe wafungue waliokwisha hukumiwa chini ya katiba ya nchi kupitia bosi ya PAROLE.
Tulieni gaidi abanikwe vizuri!Akija huku chozi na kamasi likimtiririka tunamsulubu vizuri zaidi Hadi atakapojua kama maharage nayo ni mboga.
Katowe ushahidi huko wa ugaidi sio kuelezea ukamatajiTulieni gaidi abanikwe vizuri!
Kama tunavyombanika kaka jambazi sio, unaonaje tuchochee moto zaidi au moto unatosha kumbanika?Tulieni gaidi abanikwe vizuri!
Unajifunga mwenyewe, hoja NI KWAMBA Rais anaingilia mahakama kwa kuamuru Nani akamatwe, Nani aachiliwe, mfano masheikh walifungwa na Rais, na wakachiwa na Rais.Mahakama ilipowatoa mashehe mkashangilia, ilipowafutia kesi kina mbowe mkashangilia, ilipomfunga Sabaya mkashangilia. Ila hapa kwa gaidi tu ndio haziko huru?
Tetete BashiteTatizo una fikiri kila mtu humu ana mume kama ulivyo wewe!
Wengine tuna wake, yani ni waume wa watu
Kweli tupuAkija huku chozi na kamasi likimtiririka tunamsulubu vizuri zaidi Hadi atakapojua kama maharage nayo ni mboga.
Pole kwa kubadilishwa jinsiaTetete Bashite
Ulilalamika pia?Unajifunga mwenyewe, hoja NI KWAMBA Rais anaingilia mahakama kwa kuamuru Nani akamatwe, Nani aachiliwe, mfano masheikh walifungwa na Rais, na wakachiwa na Rais.
Sina ubishi mkuuPole kwa kubadilishwa jinsia
Lazima magaidi na majambazi wote wabanikweKama tunavyombanika kaka jambazi sio, unaonaje tuchochee moto zaidi au moto unatosha kumbanika?
Wapo Bado wengi mtaa ule wa kijani titawafikia wote, Mungu atuongezee na baraka ya kuipata katiba mpya huenda hata wewe ukafikiwa.Lazima magaidi na majambazi wote wabanikwe
Mahakama yetu haiwezi kuthibitisha kama alichosema Rais siyo kweli, Rais wetu kulingana na katiba yuko juu ya mahakama na ndiyo sababu anawateua na kuwaapisha wamtii yeye Rais.Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke kwa kila mtu ila haiwezi kamwe kuingilia uamuzi wa mahakama ambayo ni mhimili mwingine kabisa. Kama ulitenda kosa utahukumiwa kwa stahiki yake, kama hukutenda basi utahukumiwa hivyo hivyo. Serikali kazi yake ni kusisitiza utawala bora na wa sheria.
Mambo ya kusema kua Rais ametia mkono wake kuhusu kukamatwa kwa flani flani eti kwa sababu alikua kiongozi ni maneno yaliyokosa staha kwa kiongozi wa nchi. Kama ulikosa wewe basi hiyo ni juu yako na mzigo wako, kamwe serikali haiwezi kuhusika na wewe. Haki yako iko mahakamani kama inavyoelekeza katiba ya nchi.
Kuhusu Mama kuhojiwa na BBC Kisha kutoa majibu kuhusu shauri la Mhe Mbowe na wenzake, alivyojibu ndiyo anavyojua yeye,ndizo taarifa alizopewa na vyombo husika, kama vyombo havikumpa ukweli basi mahakama itathibisha. Pia kuhusu suala la Sabaya serikali inahusikaje na matendo yake ya kinyume na sheria? Mnataka imbebe mtu anayevunja sheria? Kila mtu atabeba mzigo wake na atahukumiwa nao yeye. Hujaridhika basi kata rufaa bado utapata stahiki yako.
Tusimlaumu Mhe Rais bure kuhusu maamuzi ya mahakama, kama watakosea polisi hiyo ni wao wenyewe na makosa yao, kama atakosa DPP huyu ni yeye na weledi wake, kama itakosa mahakama basi ni yenyewe na mapungufu yake. Rais hana mamlaka na kutoa maamuzi ya kesi ya mtuhumiwa yeyote, anayo mamlaka ya kutoa vibali vya kusamehe wafungue waliokwisha hukumiwa chini ya katiba ya nchi kupitia bosi ya PAROLE.
Tuendelee kusifia tu? Kusema kwetu kweli kuwe mwiko? ...... "Hapana".Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke kwa kila mtu ila haiwezi kamwe kuingilia uamuzi wa mahakama ambayo ni mhimili mwingine kabisa. Kama ulitenda kosa utahukumiwa kwa stahiki yake, kama hukutenda basi utahukumiwa hivyo hivyo. Serikali kazi yake ni kusisitiza utawala bora na wa sheria.
Mambo ya kusema kua Rais ametia mkono wake kuhusu kukamatwa kwa flani flani eti kwa sababu alikua kiongozi ni maneno yaliyokosa staha kwa kiongozi wa nchi. Kama ulikosa wewe basi hiyo ni juu yako na mzigo wako, kamwe serikali haiwezi kuhusika na wewe. Haki yako iko mahakamani kama inavyoelekeza katiba ya nchi.
Kuhusu Mama kuhojiwa na BBC Kisha kutoa majibu kuhusu shauri la Mhe Mbowe na wenzake, alivyojibu ndiyo anavyojua yeye,ndizo taarifa alizopewa na vyombo husika, kama vyombo havikumpa ukweli basi mahakama itathibisha. Pia kuhusu suala la Sabaya serikali inahusikaje na matendo yake ya kinyume na sheria? Mnataka imbebe mtu anayevunja sheria? Kila mtu atabeba mzigo wake na atahukumiwa nao yeye. Hujaridhika basi kata rufaa bado utapata stahiki yako.
Tusimlaumu Mhe Rais bure kuhusu maamuzi ya mahakama, kama watakosea polisi hiyo ni wao wenyewe na makosa yao, kama atakosa DPP huyu ni yeye na weledi wake, kama itakosa mahakama basi ni yenyewe na mapungufu yake. Rais hana mamlaka na kutoa maamuzi ya kesi ya mtuhumiwa yeyote, anayo mamlaka ya kutoa vibali vya kusamehe wafungue waliokwisha hukumiwa chini ya katiba ya nchi kupitia bosi ya PAROLE.
Utajua hujui. Amlipaye mpiga zumari ndiye mchagua wimbo.Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.