Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

Ccm wanavunja sheria za nchi hii kila siku,mi nikipata nafasi najiunga na jeshi lolote hata kama ni somalia,!!
Yaani upate nafasi ya kujiunga na jeshi la Marekani,ukatae kisa uraia wa TZ!!!?aaaah wapi,hiyo passport yenu natupa,nachukua uraia mwingine
Naunga mkono hoja.
 
Kabla ya kukemea muangalie nafasi ya vijana nchi mwao kwenye majeshi yetu haya.

Kuna rushwa nyingi hadi kupenya huko nafasi zinatoka kwa upendeleo na nafasi nzuri zinatolewa kwa watoto wa vigogo mojakwamoja.

Then tuangalie na nchi za huko zilizoendelea nafasi za jeshi ni haki ya kila mtu hata asiwe raia, mshahara marupurupu kama yote alafu mwakataze vijana ni mjinga tu ndio ataacha hizo chance.

Jeshi la USA lina vijana wa tz kibao tu na huko Russia ni huyo aliyeuwawa ndio imegundulika ila wapo wengi pia..we imagine vikundi km alshabab na the like vinaveza kuwashawishi vijana wetu na wakajoin huko bila senti na kupigana bila vifaa vya maana sembushe minchi mikubwa na matajiri.

Ukweli ni kwamba vijana hawana namna ya kuchoropoka kwenda huko ila kama kungejuwa na upenyo kidogo kungekuwa na mafuriko makubwa kukimbilia huko.

Muhimu ni sera nzuri kwa vijana nchi zitazowavutia kuendelea kupambana nchini hapa hapa na sio tofauti hapo.

Njaa haina bausa na hakuna anayependa kunuka umasikini.
 
Sasa hao tayari ni raia wa marekani
Siyo watanzania tena
Point kuu ni hawa wanajiunga na majeshi kama mamluki(mecenaries)
Na kwa upande sioni kama ni shida maana ni moja ya utafutaji tu wa maisha

Ova
 
Wakuu nadhani tunamtafsiri waziri visivyo, marufuku mtanzania kujiunga na jeshi LA NCHI NYINGINE, hapa catch ni NCHI, ila kujiunga na vikundi vya kupiganaji sioni ni tatizo, ni ajira kama ajira zingine, nikiwa ni professional fighter Nina haki ya kutafuta ajira kwenye hivi vikundi vya kupiganaji ila sio NCHI
 
Huyu bi mkubwa anaongea ushubwada kabisa. Shenzi taipu!

Eti nipewe nafasi ya kujiunga na Jeshi la Marekani, Uingereza, Urusi, Uchina halafu nikatae kwa sababu ya visheria vyenu vya madafu? Mbwaaaaaaa! Yani immediately siwazi mara mbili mimi huyoooooo naenda kuvaa gwanda, to hell with your https://jamii.app/JFUserGuide#ng laws!
 
Sheria gani imevunjwa nikijiunga na jeshi la nchi nyingine.
Good observation , Kama waziri ingekuwa vyema angetaja kabisa hiyo Sheria na kifungu husika.
Mimi mwenyewe ndio mara ya kwanza
Ya uhamiaji na makazi. Kama uko interested na majeshi ya nchi zingine, ukane uraia wa tz kisheria then chukua uraia wa nchi husika ambapo utataka kujiunga na jeshi hilo

Embu taja hiyo Sheria na kifungu husika.
Tanzania hakuna Sheria inayoitwa Uhamiaji na ukazi
 

Mi namjua mmoja yupo France legion
Huyu Mama nadhani kakurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…