fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mbona sijawahi kuona wakikataza au kukemea yale matangazo ya barozi ya marekani wanatoaga kukaribisha vijana wanaotaka kujiunga na jeshi la Marekani kwa mkataba?Sheria gani imevunjwa nikijiunga na jeshi la nchi nyingine.