Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Kibiashara hailipi, lakini kiafya pia haifai, tunafanyaje hapa mkuu?Level seat kwa daladala za Dar mmh haiwezekani, kuna kipindi walileta hii sheria ila iligonga mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibiashara hailipi, lakini kiafya pia haifai, tunafanyaje hapa mkuu?Level seat kwa daladala za Dar mmh haiwezekani, kuna kipindi walileta hii sheria ila iligonga mwamba
Lockdown,way to go..Kibiashara hailipi, lakini kiafya pia haifai, tubafanyaje hapa mkuu?
Dawa kila daladala iwe na sanitizer,Yaani ubaya wa hivi virus havifi haraka kwenye surface,tofauti na vile vya HIV Ni vinakufa ndani ya dakika tu.hivi mtu anatoka kamasi akijifuta,vinabaki mkononi,akishika bomba la daladala,anaviachapo na kila atakaeshika Hapo atavibeba mkononi na akigusa mdomo ama pua tu,imo
Wafanya subsidies. Au huko serikalini kuna vibuyuhapo kwenye kupunguziwa bei ya mafuta ni ngumu sana kwasababu serikali haifanyi biashara ya mafuta na hata kama ingekuwa inauza mafuta hakuna namna ambayo ingeweza kupunguza bei ya hayo mafuta.
Tunaishi kwenye matako ya dunia mkuu usishangaeBei ya mafuta soko la dunia Ni iko chini Sana,kwanini huku haishuki?
Low estimate trip 10=46,0004,600× trip kwa siku = ?
Tupigie Kwanza hapo ndo tukuelewe mwisho wa siku umelaza kiasi gani?
Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala itakayosimamisha abiria itapigwa faini laki Tisa au gerezani miaka miwili ifanye hivi ili kubalance situation.
Mfano daladala ikitoka mbezi hadi Temeke umbali wa kilomita 37 Kila abiria analipa 600 na daladala moja inasiti za abiria 26 hadi 22 akifika temeke anakuwa anapata 15600tsh hadi 13200tsh ambapo kwa umbali huo gari inaweza kutumia lita 5 ambapo ambapo ni sawa na tsh 11000.
Sasa Kama gari hadi inafika Temeke imekusanya 15600 za nauli ukitoa mafuta 11000tsh inamaana daladala hi itabakiwa na 4600.
Sasa kwa namna hii je huyo dereva atapataje hesabu na posho yake ya kila siku, bado kuna zile pesa za kupigia kiwi za jamaa zetu wale aliosema mkuu ambapo kwa siku nzima huenda zikafika 10000 tena hizi huwa hazinaga ubishi lazima utatoa tu.
Ushauri wangu, Serikali ipunguze bei za mafuta kwa daladala zote ikiwezekana iwe na vituo vyake vya mafuta na maduka yake maalumu ya vipuri pia Serikali itafute muda ikae na wadau husika lakini sio kufanya maamuzi bila kushirikiana na wadau watakaoteseka ni wananchi wakawaida wanategemea magari haya.

Level seat kwa daladala za Dar mmh haiwezekani, kuna kipindi walileta hii sheria ila iligonga mwamba.
Inawezekana mbona Kenya, Uganda, Rwanda hawasimamishi abilia wakajifunze huko wameweza vipi
Sent using Jamii Forums mobile app