Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Daladala Ni hatari sana si corona tuuh unaweza pata Mba usiotibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well! nimekuelewa Lenie , so mabasi yakiwa mengi watu watakaa level seat then wamiliki wa mabasi ambao ni wafanyabiashara watalalamika kuwa hawapati faida kama mleta uzi anavyoclaim.Labda serikali iongeze mabasi, kusolve hilo tatzo maana yaliyopo hayatoshi.. Wanaotumia usafiri wa umma ni wengi sana. Mfano mzuri tu angalia mabasi ya g/mboto na mbagala mida ya jion yanavyojaza af uwaambie watu wakae level seat si wengine watajikuta wapo kituoni had usiku wa manane.
Mbona level seat ipo siku zote Zanzibar?Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala itakayosimamisha abiria itapigwa faini laki Tisa au gerezani miaka miwili ifanye hivi ili kubalance situation.
Mfano daladala ikitoka mbezi hadi Temeke umbali wa kilomita 37 Kila abiria analipa 600 na daladala moja inasiti za abiria 26 hadi 22 akifika temeke anakuwa anapata 15600tsh hadi 13200tsh ambapo kwa umbali huo gari inaweza kutumia lita 5 ambapo ambapo ni sawa na tsh 11000.
Sasa Kama gari hadi inafika Temeke imekusanya 15600 za nauli ukitoa mafuta 11000tsh inamaana daladala hi itabakiwa na 4600.
Sasa kwa namna hii je huyo dereva atapataje hesabu na posho yake ya kila siku, bado kuna zile pesa za kupigia kiwi za jamaa zetu wale aliosema mkuu ambapo kwa siku nzima huenda zikafika 10000 tena hizi huwa hazinaga ubishi lazima utatoa tu.
Ushauri wangu, Serikali ipunguze bei za mafuta kwa daladala zote ikiwezekana iwe na vituo vyake vya mafuta na maduka yake maalumu ya vipuri pia Serikali itafute muda ikae na wadau husika lakini sio kufanya maamuzi bila kushirikiana na wadau watakaoteseka ni wananchi wakawaida wanategemea magari haya.
Faida za level seats
1. Kuwahi kufika unalokwenda sababu inamfanya mtoa huduma kukuwaisha kufika ili achukue wengine.
2. Kuwa na vyombo vya usafiri vya uhakika Mana gari bovubovu na lililochakaa haliwezekan kuwah zile nenda Rudi hvyo litajitoa lenyewe kwenye kutoa huduma
3. Kulifanya jiji kuwa Safi na lenye uhakika wa Safari
4. Kufanya wamiliki waboreshe huduma Kama cards au vocha za Safari au discounts kwenye maduka au huduma flan Kama utalipa ya muda mrefu
5. Kupunguza mateja barabarani na kwenye vituo vya kupakia abiria.
6. Kuwafanya watanzania wajue kuplan kuhusu Safari na maisha kwa ujumla
Hawajapatikana wasimamizi wazuri wa sheria hiyo, mbona watu wangenyooka.Level seat kwa daladala za Dar mmh haiwezekani, kuna kipindi walileta hii sheria ila iligonga mwamba.
Watatuwekea maji kama sanitizer hao makonda wa DarDawa kila daladala iwe na sanitizer,
Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala itakayosimamisha abiria itapigwa faini laki Tisa au gerezani miaka miwili ifanye hivi ili kubalance situation.
Mfano daladala ikitoka mbezi hadi Temeke umbali wa kilomita 37 Kila abiria analipa 600 na daladala moja inasiti za abiria 26 hadi 22 akifika temeke anakuwa anapata 15600tsh hadi 13200tsh ambapo kwa umbali huo gari inaweza kutumia lita 5 ambapo ambapo ni sawa na tsh 11000.
Sasa Kama gari hadi inafika Temeke imekusanya 15600 za nauli ukitoa mafuta 11000tsh inamaana daladala hi itabakiwa na 4600.
Sasa kwa namna hii je huyo dereva atapataje hesabu na posho yake ya kila siku, bado kuna zile pesa za kupigia kiwi za jamaa zetu wale aliosema mkuu ambapo kwa siku nzima huenda zikafika 10000 tena hizi huwa hazinaga ubishi lazima utatoa tu.
Ushauri wangu, Serikali ipunguze bei za mafuta kwa daladala zote ikiwezekana iwe na vituo vyake vya mafuta na maduka yake maalumu ya vipuri pia Serikali itafute muda ikae na wadau husika lakini sio kufanya maamuzi bila kushirikiana na wadau watakaoteseka ni wananchi wakawaida wanategemea magari haya.
Kwa hiyo unataka watu waambukizani corona tu kwa faida yako? Mbona biashara zingine pia zimeathirika unafikiri ni wewe tu? Yaani hujari maisha ya wengine kabisa!Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala itakayosimamisha abiria itapigwa faini laki Tisa au gerezani miaka miwili ifanye hivi ili kubalance situation.
Mfano daladala ikitoka mbezi hadi Temeke umbali wa kilomita 37 Kila abiria analipa 600 na daladala moja inasiti za abiria 26 hadi 22 akifika temeke anakuwa anapata 15600tsh hadi 13200tsh ambapo kwa umbali huo gari inaweza kutumia lita 5 ambapo ambapo ni sawa na tsh 11000.
Sasa Kama gari hadi inafika Temeke imekusanya 15600 za nauli ukitoa mafuta 11000tsh inamaana daladala hi itabakiwa na 4600.
Sasa kwa namna hii je huyo dereva atapataje hesabu na posho yake ya kila siku, bado kuna zile pesa za kupigia kiwi za jamaa zetu wale aliosema mkuu ambapo kwa siku nzima huenda zikafika 10000 tena hizi huwa hazinaga ubishi lazima utatoa tu.
Ushauri wangu, Serikali ipunguze bei za mafuta kwa daladala zote ikiwezekana iwe na vituo vyake vya mafuta na maduka yake maalumu ya vipuri pia Serikali itafute muda ikae na wadau husika lakini sio kufanya maamuzi bila kushirikiana na wadau watakaoteseka ni wananchi wakawaida wanategemea magari haya.
Bei ya mafuta ghafi ndio iko chini, halafu kinachopandisha bei ni kodi zinazotozwa pale bandari..Bei ya mafuta soko la dunia Ni iko chini Sana,kwanini huku haishuki?
Wakuu,
Serikali imepiga marufuku daladala kusimamisha na kujaza abiria, taratibu ambao haukuzoeleka sana haswa kwa jiji la Dar.
Mimi nikiwa mmoja wa wamiliki wa daladala hizi naishauri Serikali mambo machache haswa katika kipindi hiki cha mpito kwakuwa Serikali imesema daladala itakayosimamisha abiria itapigwa faini laki Tisa au gerezani miaka miwili ifanye hivi ili kubalance situation.
Mfano daladala ikitoka mbezi hadi Temeke umbali wa kilomita 37 Kila abiria analipa 600 na daladala moja inasiti za abiria 26 hadi 22 akifika temeke anakuwa anapata 15600tsh hadi 13200tsh ambapo kwa umbali huo gari inaweza kutumia lita 5 ambapo ambapo ni sawa na tsh 11000.
Sasa Kama gari hadi inafika Temeke imekusanya 15600 za nauli ukitoa mafuta 11000tsh inamaana daladala hi itabakiwa na 4600.
Sasa kwa namna hii je huyo dereva atapataje hesabu na posho yake ya kila siku, bado kuna zile pesa za kupigia kiwi za jamaa zetu wale aliosema mkuu ambapo kwa siku nzima huenda zikafika 10000 tena hizi huwa hazinaga ubishi lazima utatoa tu.
Ushauri wangu, Serikali ipunguze bei za mafuta kwa daladala zote ikiwezekana iwe na vituo vyake vya mafuta na maduka yake maalumu ya vipuri pia Serikali itafute muda ikae na wadau husika lakini sio kufanya maamuzi bila kushirikiana na wadau watakaoteseka ni wananchi wakawaida wanategemea magari haya.
Kuhusu kuwai kufika, ulivoeleza sio kweli"
Trip za daladala hapa mjini kila njia ina idadi ya trip ambazo huwezi zidisha!
Foleni ndo inaballance trip za daladala.
Kimfano g.lamboto mawasiliano ni 5 kwa 10 au 6 kwa 12. Na huwezi zidisha" ( hii ni kwa eitcher na tata)
Rout nyingi wastani ni huo kwa gari kubwa.
Rout chache wanaenda 7. Na rout nyingine mwisho ni 5 tu! Mfano ni mbagala--kawe, chanika-- makumbusho nk.
Sent using Redmi Y2