Tetesi: Marufuku ya kuzidisha abiria ili kupambana na Corona, Daladala zimeanza kugoma Dar es Salaam

Hivi vitu vidogo vidogo tu vinatushinda kucontrol na kuviwekea mazingira safi sasa tukipewa kazi yenyewe ya kutafuta dawa ya Corona tunataweza kweli..?

Hili janga linatakiwa litufundishe kitu sisi raia juu ya aina ya wanasiasa na viongozi tulionao na tunaowashabikia huku Africa.
 
Pakinii majumbani msubiri corona...Uganda wamesimamisha bar zote
Sherehe zote
Basiizote mwendoo wakukaa ....
Simngeliamachoziyadamuu
Pakinitu PESA na corona nn boraa
 
Dawa kila daladala iwe na sanitizer,
 
4,600× trip kwa siku = ?

Tupigie Kwanza hapo ndo tukuelewe mwisho wa siku umelaza kiasi gani?
 
hapo kwenye kupunguziwa bei ya mafuta ni ngumu sana kwasababu serikali haifanyi biashara ya mafuta na hata kama ingekuwa inauza mafuta hakuna namna ambayo ingeweza kupunguza bei ya hayo mafuta.
Wafanya subsidies. Au huko serikalini kuna vibuyu
 
Hakuna anaeshuka na kupanda njiani?
 
Kiongozi kila "Muamba ngozi huvuta kwake" mbona kama unapotosha ukweli hebu rudia hesabu zako usije ukaumbuka!!

 
Kwanza sijui kwanini wamehangaika na wenye mabasi.......................... sijui daladala......................

Ni kuitangazia umma tuu ukikutwa umesimama kwenye daladala unapata fain ya Tsh 50elf. sasa uone nani atadhubutu kuingia kwenye gari iliyopo level seat. uamue kutoa 50 au kuchukua uber kabisa maana lazima sisi Watanzania tu learn in a hard way.

Na hapo tueone kama watalalamika sasa hivi abiria hawapandi. Na konda pia alimwe fain kwanini kazidisha abiria
 
Ili waweze kusikia ushauri wenu itawalizimu mkubariane wote kupark magari yenu japo siku mbili tatizo nchi yetu kila kitu Siasa hlf hao viongozi wenyewe wao wapo kwenye mavx uko si wapinzani si watawala...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni mboyoyo.... tii sheria bila shuruti .....kama hamuwezi njooni muuze Mkaa kama Mimi!
 
Kwa umbali mfupi kama wa buguruni tabata sasa hv natembea kwa mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…