Wale wa kufa kiume tubaendelea kuweweseka.Shirikisho ni kwa timu mbovu
Kweli mkuu lakn kwenye game ya nusu fainal lazima tukubali,marumo gallant ataingia kama underdogUmeangalia recent form lakini au umeishia kuangalia nafasi ya timu? Inaweza kuwa inakaribia kushuka lakini ikagawa vipigo mpaka ukashangaa
Timu kama imefika nusu fainali uwezi ukaibeza, akuna timu mbovu inaweza kufika nusu fainali ata kidogo, iyo Malumo imewekeza kwenye michuano ya kimataifa ndio maana kwenye ligi yao iko karibia na mwishoni mwa msimamo, Wao wamechagua kuweka nguvu kwenye michuano ya kimataifa ni kama kaizer chiefs msimu ulioisha ilikuwa na hali mbaya kwenye ligi yao lakini ilikuwa inauwasha moto kwenye michuano ya kimataifa mpaka ikafika fainali ya caf confederetion cup, kwa maana iyo Yanga wasiwadharau Malumo ata kidogo wanatakiwa kucheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu, wamemtoa pyramid ya Misri uwezi ukaibeza timu ya namna iyo aiseeMarumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.
Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.
Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed
Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana
FA ya Azam ina sh ngapi?Ila hili kombe la shirikisho ni la kila mtu..angalia timu zilizofuvu nusu fainali,halafu angalia wanaume kule ligi ya mabingwa wanavyopenya..hata zawadi pia hebu fikiria robo fainali klabu bingwa kuna dola 650000 wakati nusu fainali shirikisho ni dola 450000..lakini sio mbaya kwa yanga coz wametengeneza historia.
Msimu uliopita mlitumia mpaka ndumba uwanjani, na bado mlitolewa.Shirikisho ni kwa timu mbovu
Ni nani aliyewashawishi kutumia uchawi kule Afrika ya Kusini kwenye kugombania kombe linalo dharauliwa? Na bado mlitolewa eti na Orlando Pirates!!Ndio maana hili kombe linadharauliwa.
Kesho kmc anaweza kufika nusu Fainali
Luza
Hatukuhitaji losers cup..Wewe si ulikuwa uku kilicho kushinda kuchukuwa ubingwa nini?
Hawaamini macho yao, wamebaki kupiga ramli 🤣🤣🤣Hapa inawakumbusha kufa kiume FC au robo fainali FC😂
Acha kufananisha kifo na usingiziFA ya Azam ina sh ngapi?
Nusu fainal ya nn?kama luzaz potezeaNaomba niwakumbushe ndugu zangu Yanga imeingia nusu fainali.
Haya mjadala uendelee
Sasa kwanini mna komaa nayoAcha kufananisha kifo na usingizi
Ushabiki tu mkuu..usiogope.Sasa kwanini mna komaa nayo
AahahaaaaTahadhali kwa mashabiki wa yanga wawe makini sana dhidi ya mashabiki wa simba, mashabiki wa simba wako na frustration sana wanaweza fanya baya lolote
Source!?Leo asubuh nilikua namsikiliza kocha wa malumo galants akihojiwa na waandishi wa habari, amesema " hiyo timu ambayo cjui inaitwa yanga, timu haina hata uzoefu kwenye hii michuano, after all back line yao ni nzito. Ntawa press kwa nguvu na kuwagonga counter attack mpaka wanye"
Marumo nawaogopa Kwa kuwa hawana la kupotezaTimu kama imefika nusu fainali uwezi ukaibeza, akuna timu mbovu inaweza kufika nusu fainali ata kidogo, iyo Malumo imewekeza kwenye michuano ya kimataifa ndio maana kwenye ligi yao iko karibia na mwishoni mwa msimamo, Wao wamechagua kuweka nguvu kwenye michuano ya kimataifa ni kama kaizer chiefs msimu ulioisha ilikuwa na hali mbaya kwenye ligi yao lakini ilikuwa inauwasha moto kwenye michuano ya kimataifa mpaka ikafika fainali ya caf confederetion cup, kwa maana iyo Yanga wasiwadharau Malumo ata kidogo wanatakiwa kucheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu, wamemtoa pyramid ya Misri uwezi ukaibeza timu ya namna iyo aisee