Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,261
- 17,202
Ila hili kombe la shirikisho ni la kila mtu..angalia timu zilizofuvu nusu fainali,halafu angalia wanaume kule ligi ya mabingwa wanavyopenya..hata zawadi pia hebu fikiria robo fainali klabu bingwa kuna dola 650000 wakati nusu fainali shirikisho ni dola 450000..lakini sio mbaya kwa yanga coz wametengeneza historia.