Marumo Gallants hawana mpira wa kutisha saana

Ila hili kombe la shirikisho ni la kila mtu..angalia timu zilizofuvu nusu fainali,halafu angalia wanaume kule ligi ya mabingwa wanavyopenya..hata zawadi pia hebu fikiria robo fainali klabu bingwa kuna dola 650000 wakati nusu fainali shirikisho ni dola 450000..lakini sio mbaya kwa yanga coz wametengeneza historia.
 
Umeangalia recent form lakini au umeishia kuangalia nafasi ya timu? Inaweza kuwa inakaribia kushuka lakini ikagawa vipigo mpaka ukashangaa
Kweli mkuu lakn kwenye game ya nusu fainal lazima tukubali,marumo gallant ataingia kama underdog
 
Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu.

Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2.

Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushtukiza kupitia ma winger wao wenye speed

Naamini kocha wa yanga akienda na mfumo huu wa 3-5-2 atawaweza saana
Timu kama imefika nusu fainali uwezi ukaibeza, akuna timu mbovu inaweza kufika nusu fainali ata kidogo, iyo Malumo imewekeza kwenye michuano ya kimataifa ndio maana kwenye ligi yao iko karibia na mwishoni mwa msimamo, Wao wamechagua kuweka nguvu kwenye michuano ya kimataifa ni kama kaizer chiefs msimu ulioisha ilikuwa na hali mbaya kwenye ligi yao lakini ilikuwa inauwasha moto kwenye michuano ya kimataifa mpaka ikafika fainali ya caf confederetion cup, kwa maana iyo Yanga wasiwadharau Malumo ata kidogo wanatakiwa kucheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu, wamemtoa pyramid ya Misri uwezi ukaibeza timu ya namna iyo aisee
 
Ila hili kombe la shirikisho ni la kila mtu..angalia timu zilizofuvu nusu fainali,halafu angalia wanaume kule ligi ya mabingwa wanavyopenya..hata zawadi pia hebu fikiria robo fainali klabu bingwa kuna dola 650000 wakati nusu fainali shirikisho ni dola 450000..lakini sio mbaya kwa yanga coz wametengeneza historia.
FA ya Azam ina sh ngapi?
 
Leo asubuh nilikua namsikiliza kocha wa malumo galants akihojiwa na waandishi wa habari, amesema " hiyo timu ambayo cjui inaitwa yanga, timu haina hata uzoefu kwenye hii michuano, after all back line yao ni nzito. Ntawa press kwa nguvu na kuwagonga counter attack mpaka wanye"
 
Source!?
 
Timu kama imefika nusu fainali uwezi ukaibeza, akuna timu mbovu inaweza kufika nusu fainali ata kidogo, iyo Malumo imewekeza kwenye michuano ya kimataifa ndio maana kwenye ligi yao iko karibia na mwishoni mwa msimamo, Wao wamechagua kuweka nguvu kwenye michuano ya kimataifa ni kama kaizer chiefs msimu ulioisha ilikuwa na hali mbaya kwenye ligi yao lakini ilikuwa inauwasha moto kwenye michuano ya kimataifa mpaka ikafika fainali ya caf confederetion cup, kwa maana iyo Yanga wasiwadharau Malumo ata kidogo wanatakiwa kucheza nao kwa nidhamu ya hali ya juu, wamemtoa pyramid ya Misri uwezi ukaibeza timu ya namna iyo aisee
Marumo nawaogopa Kwa kuwa hawana la kupoteza
 
Back
Top Bottom