Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Utopolo akienda fainali tutaishi kwa tabu sanaUmmat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
Moro United Zamani Ndiyo Ilikuwa Inaitwa ZaragozaUmmat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
hata hapa waliyokuja kimya kimya bila taarifa kama mizuka na kukataa kutumia basi tulilowapa si mlisema wameweza kupangua figisu zetu,mwisho wa game ulisoma ubao?Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
Kama mashabiki ndiyo wanacheza mpira sawa, hawa c ndiyo bahlabhan ba ntwa tuliokuwa tunatishwa na Carrasco Putin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
AahaaaaaUmmat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
AahaaaaaaUtopolo akienda fainali tutaishi kwa tabu sana
kajumulo fcMoro United Zamani Ndiyo Ilikuwa Inaitwa Zaragoza
Mkuu unateseka sana, hii comment unaipaste kwenye kila uzi wa Yanga...Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.
ANACHEZA NA WANAUME AKINA .
RAJA CASABLANCA.
WYDAD CASABLANCA.
ALHALY.
ZAMALECK.
MAMELOD.
KAIZER CHEEF.
OLANDO PAIRATES.
Hakika Hilo ni kombe la looser Na Mwaka una ma looser kibao.
Timu ya kushuka Daraja PSL IMETUSUMBUA sana Jana.
Now it's confirmed, Yanga is the biggest team in East Africa.Mimi ningempongeza Yanga kama Angekuwa Club BINGWA CAFCL.