chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
YANGA LAZIMA ACHEZE FAINALI. FULL STOP.
WASIPOCHEZA NIPIGENI MAWE.
WASIPOCHEZA NIPIGENI MAWE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮🚮🚮Now it's confirmed, Yanga is the biggest team in East Africa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani kwasasa unaishi kwa raha?Utopolo akienda fainali tutaishi kwa tabu sana
KAJUMULOMoro United Zamani Ndiyo Ilikuwa Inaitwa Zaragoza
NA KABLA YA KAJUMULO ILIITWA SIGARAKAJUMULO
Kajumulo World Soccer ⚽KAJUMULO
Jiandae kuteseka tu hamna namna.Utopolo akienda fainali tutaishi kwa tabu sana
Natamani Kila mtanzania angejua hili. Mana kujua kitu kama hiki ni haki yake kama mtanzaniaUwanjani wanatakiwa wachezaji 22 tu mkuu, wanaume 11 upande mmoja na 11 upande mwingine.
Mbinu, ufundi na kufanyia kazi kile walichoambiwa na walimu wao ndiyo tiketi ya kushinda mchezo kwa Kila upande.
Mashabiki hata wakija na mavuvuzela million kama timu inadai posho haiwezi kushinda asilani.
Yanga Ina nafasi ya kupata walau goli moja ugenini, ambapo itawafanya opponents wao wapoteane
Na hawafikishagi hata robo ya uwanja 😄Umechelewa kujua....
marumo huwa hawalipishi kiingilio kwenye mechi zao za nyumbani toka walipofuzu makundi.
Niambie wewe timu kubwa Tz ni ipi.[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Nimwombe Mayele asiwe mchoyo kuna nafasi nyingi sana Yanga wanakosa kwa uchoyo wake anataka afunge yeye tu na Azizi ki anapoteza sana mipiraHao dawa Yao ni kuwasaka dk 30 za mwanzo mwe mmeshawapiga hata kimoja cha kuwavuruga , alaf mnakuwa mnavizia uzuri mbio za tuisila na mayele sio mchoyo lazima watoboke
Ingekuwa hiyo inasumbua basi Simba ingekula 7 kule Wydad. Yanga inagombania kufungwa 3-1 ili isonge final. Eti Diara,Baca,Job, Lumalisa, Djuma Shaban, Mwamnyeto, Bangala Aucho,waruhusu goli 3 ndani ya dk 90 na huku akina Mayele,Musonda,Aziz Key [emoji360] , Mudathil wale, Morroco,Kisinda dk 90 washindwe tupia goli 1. Labda wawe wagonjwa woteUmmat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
OkMtachonga sana mwaka huu. Ila mwisho wa siku, kama ipo ipo tu.
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae
Yanga inawachezaji wengi wenye uzoefu na mechi za aina hiyo. Hivyo usitegemee kama watatetereka hata kama uwanja utajaa mashabiki walioingia bure.
Mwaka huu Kolos watashabikia timu kibao hadi zitafika milioni! Kweli Simba imelitia aibu sana Taifa hata kombe la mbuzi hamna? Kwanini kolokoloni Mvua msingezianza Tangu mwanzo wa msimu? Mmeshtuka kumekucha!! Hii ndio shida ya kubadilisha mganga katikati ya msimu!!Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae