sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa Moro United nimewasanua tu wawakilishi wetu wa kimataifa. Mjiandae