Lakin inaonekana Kang atakuwa mchumba kwa hero wengi sana licha ya kuonekana ana uwezo mkubwa.Kang amefanya vyema Sana kwenye Ant-man and the Wasp
Ninachotaka kuona ni nini atafanya baada ya kufanikiwa kuja duniani
Ndio sidhan kama kang ana uwezo wa kutosha kumpiga wandaLakin inaonekana Kang atakuwa mchumba kwa hero wengi sana licha ya kuonekana ana uwezo mkubwa.
Wanda kwenye End game ilikua kidogo ambutue Thanos mpaka Thanos akaomba msaada [emoji2]Ndio sidhan kama kang ana uwezo wa kutosha kumpiga wanda
Nahisi 2024 kwenye Avengers: The Kang Dynasty.Kang amefanya vyema Sana kwenye Ant-man and the Wasp
Ninachotaka kuona ni nini atafanya baada ya kufanikiwa kuja duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila watuAliomba hivi msaada
View attachment 2601799
wanasema watakuwa ni hawa; wong, ant-man, spiderman, shang chi, war machine, iron heart, captain america (black), bucky na wale marvelsNahisi 2024 kwenye Avengers: The Kang Dynasty.
Atapigwa vibaya sana ila sijajua kikosi cha Avengers kitakua kile cha zamani au ndio hawa wakina The Marvels.
Kama ndio hawa, tumtume na sisi Mkojan otherwise we're f**ked.
Aisee.wanasema watakuwa ni hawa; wong, ant-man, spiderman, shang chi, war machine, iron heart, captain america (black), bucky na wale marvels
Kwani mkuu, kwenye quantamania, kang si kasema ameua avengers multiple times, isn't wanda an avenger?Ndio sidhan kama kang ana uwezo wa kutosha kumpiga wanda
Wakina eternals na fantastic four nao vp watakuwepowana
wanasema watakuwa ni hawa; wong, ant-man, spiderman, shang chi, war machine, iron heart, captain america (black), bucky na wale marvels
Hakuna wizard mwenye time stone, timme stone na all infinity stone zilirudishwa na stevw zilipotoka.Aisee.
Sura ya kazi hapo ni Shang Chi, Wong, Bucky, Sam.. Wengine soft sana.. Hivi Huyu Wizard mwenye time stone ye sio Avenger?
Raia wanamchulia kang simple sana.Hakuna wizard mwenye time stone, timme stone na all infinity stone zilirudishwa na stevw zilipotoka.
Wewe unasema Kang ni soft, huyu uliyemuona kwenye Ant-Man ni Variant hamfikii hata Victor Timely ambae tutamuona kwenye Loki S2.
Mind you, version ya kang ambayo tutakutana nayo kwenye avengers ni Imortus, Scarlett Centurion na Pharaoh Rama-Tut. Hao ndio versión za kang ambazo ni balaa.
Huyu wa kwenye Quantumania sio mkali ndio maana Ant-Man kamshinda kirahisi. Someni comics jamani, msimuchukulie poa Kang.Lakin inaonekana Kang atakuwa mchumba kwa hero wengi sana licha ya kuonekana ana uwezo mkubwa.
Hivi una jua kang ana version nyingine ambayo anajiita Iron Lad, alijigeuza akawa mtoto ana tumia Technology kuliko ya Sark japo inafanana nae. Ni balaa, usimchukulie poaNdio sidhan kama kang ana uwezo wa kutosha kumpiga wanda
Shang chi hana superpower yoyote ile yeye anapiga mkono tu. Unless atumie zile ring. Hata hivyo hafui dafu kwa Kang. Version ya Rama-Tut inajua trick zote alizonazo wong.Aisee.
Sura ya kazi hapo ni Shang Chi, Wong, Bucky, Sam.. Wengine soft sana.. Hivi Huyu Wizard mwenye time stone ye sio Avenger?
Kang ni habari nyingine ngoja tukifika kwa Galactus sijui mtasemaje sasa. Maana sterling ni hawa hawa na Galactus yeye anaweza kuila dunia au Solar system nzimaKwani mkuu, kwenye quantamania, kang si kasema ameua avengers multiple times, isn't wanda an avenger?
Kwenye comics kang kawakalisha avengers, alikuja kuwasave black knight. Sijui marvel wataplay vipi huku live action.
Da Vinci aje anicorrect.
Mkuu haya mambo unayosema ni kweli yapo au ni movie tu na story za kufikirikaHuyu wa kwenye Quantumania sio mkali ndio maana Ant-Man kamshinda kirahisi. Someni comics jamani, msimuchukulie poa Kang.
Hivi una jua kang ana version nyingine ambayo anajiita Iron Lad, alijigeuza akawa mtoto ana tumia Technology kuliko ya Sark japo inafanana nae. Ni balaa, usimchukulie poa
Shang chi hana superpower yoyote ile yeye anapiga mkono tu. Unless atumie zile ring. Hata hivyo hafui dafu kwa Kang. Version ya Rama-Tut inajua trick zote alizonazo wong.
Kang ni habari nyingine ngoja tukifika kwa Galactus sijui mtasemaje sasa. Maana sterling ni hawa hawa na Galactus yeye anaweza kuila dunia au Solar system nzima
Kiuhalisia ubongo wa mwanadamu upo limited kwenye kufikiria. Huwezi kufikiria kitu ambacho hakipo never. Lazima ufikirie kitu ambacho kipo, kama unabisha jaribu kufikiria hapo. Ndio maana hata Mungu tukimchora tunachora ni mzee mwenye mvi coz hatujui umbo lake ila tunamfananisha na jinsi tulivyo. Hata ukifikiria kitu gani lazima useme kitu kipo kama kitu fulani...coz huwezi kufikiria nje ya kile unachofaham.Mkuu haya mambo unayosema ni kweli yapo au ni movie tu na story za kufikirika
Chill man. Marvel Universe sio Universe hii ya Milky Way tunayoishi.Mkuu haya mambo unayosema ni kweli yapo au ni movie tu na story za kufikirika
I meant Dr Strange. Thor anamuitafa Wizzard vile nikamzoea. Si ndio ana time stone au infinity?Hakuna wizard mwenye time stone, timme stone na all infinity stone zilirudishwa na stevw zilipotoka.
Kwahiyo unadhani jamaa anahofu Kang atatuvamia au?? That's very lazy and silly writing of yours 😅😅Chill man. Marvel Universe sio Universe hii ya Milky Way tunayoishi.
Doctor strange hana tena Time stone. Zilirudishwa zilipotoka na Steve ili kuepusha Nexus Event... A.k.a Breach of timeline kama alivyofanya LokiI meant Dr Strange. Thor anamuitafa Wizzard vile nikamzoea. Si ndio ana time stone au infinity?