Marvel Cinematic Universe special thread

Wanda kwenye End game ilikua kidogo ambutue Thanos mpaka Thanos akaomba msaada [emoji2]
Aliomba hivi msaada
FB_IMG_16635329696650107.jpg
 
Kang amefanya vyema Sana kwenye Ant-man and the Wasp
Ninachotaka kuona ni nini atafanya baada ya kufanikiwa kuja duniani
Nahisi 2024 kwenye Avengers: The Kang Dynasty.

Atapigwa vibaya sana ila sijajua kikosi cha Avengers kitakua kile cha zamani au ndio hawa wakina The Marvels.

Kama ndio hawa, tumtume na sisi Mkojan otherwise we're f**ked.
 
wana

wanasema watakuwa ni hawa; wong, ant-man, spiderman, shang chi, war machine, iron heart, captain america (black), bucky na wale marvels
 
Aisee.

Sura ya kazi hapo ni Shang Chi, Wong, Bucky, Sam.. Wengine soft sana.. Hivi Huyu Wizard mwenye time stone ye sio Avenger?
 
Hakuna wizard mwenye time stone, timme stone na all infinity stone zilirudishwa na stevw zilipotoka.

Wewe unasema Kang ni soft, huyu uliyemuona kwenye Ant-Man ni Variant hamfikii hata Victor Timely ambae tutamuona kwenye Loki S2.
Mind you, version ya kang ambayo tutakutana nayo kwenye avengers ni Imortus, Scarlett Centurion na Pharaoh Rama-Tut. Hao ndio versión za kang ambazo ni balaa.
 
Raia wanamchulia kang simple sana.
 
Lakin inaonekana Kang atakuwa mchumba kwa hero wengi sana licha ya kuonekana ana uwezo mkubwa.
Huyu wa kwenye Quantumania sio mkali ndio maana Ant-Man kamshinda kirahisi. Someni comics jamani, msimuchukulie poa Kang.

Ndio sidhan kama kang ana uwezo wa kutosha kumpiga wanda
Hivi una jua kang ana version nyingine ambayo anajiita Iron Lad, alijigeuza akawa mtoto ana tumia Technology kuliko ya Sark japo inafanana nae. Ni balaa, usimchukulie poa
Aisee.

Sura ya kazi hapo ni Shang Chi, Wong, Bucky, Sam.. Wengine soft sana.. Hivi Huyu Wizard mwenye time stone ye sio Avenger?
Shang chi hana superpower yoyote ile yeye anapiga mkono tu. Unless atumie zile ring. Hata hivyo hafui dafu kwa Kang. Version ya Rama-Tut inajua trick zote alizonazo wong.
Kwani mkuu, kwenye quantamania, kang si kasema ameua avengers multiple times, isn't wanda an avenger?

Kwenye comics kang kawakalisha avengers, alikuja kuwasave black knight. Sijui marvel wataplay vipi huku live action.

Da Vinci aje anicorrect.
Kang ni habari nyingine ngoja tukifika kwa Galactus sijui mtasemaje sasa. Maana sterling ni hawa hawa na Galactus yeye anaweza kuila dunia au Solar system nzima
 
Huyu wa kwenye Quantumania sio mkali ndio maana Ant-Man kamshinda kirahisi. Someni comics jamani, msimuchukulie poa Kang.

Hivi una jua kang ana version nyingine ambayo anajiita Iron Lad, alijigeuza akawa mtoto ana tumia Technology kuliko ya Sark japo inafanana nae. Ni balaa, usimchukulie poa

Shang chi hana superpower yoyote ile yeye anapiga mkono tu. Unless atumie zile ring. Hata hivyo hafui dafu kwa Kang. Version ya Rama-Tut inajua trick zote alizonazo wong.

Kang ni habari nyingine ngoja tukifika kwa Galactus sijui mtasemaje sasa. Maana sterling ni hawa hawa na Galactus yeye anaweza kuila dunia au Solar system nzima
Mkuu haya mambo unayosema ni kweli yapo au ni movie tu na story za kufikirika
 
Kiuhalisia ubongo wa mwanadamu upo limited kwenye kufikiria. Huwezi kufikiria kitu ambacho hakipo never. Lazima ufikirie kitu ambacho kipo, kama unabisha jaribu kufikiria hapo. Ndio maana hata Mungu tukimchora tunachora ni mzee mwenye mvi coz hatujui umbo lake ila tunamfananisha na jinsi tulivyo. Hata ukifikiria kitu gani lazima useme kitu kipo kama kitu fulani...coz huwezi kufikiria nje ya kile unachofaham.

Ukiota ndoto ukaona kitu cha ajabu, lazima useme nimeota kitu kipo kama nyumba ila si nyuma. You see??
Hivyo basi hata walioandika hizo comics hawakuandika yasiyokuwepo.
Mfano ukiangalia Doctor Strange 2016 theories za Astral projection, Self healing, Sorcery nk zimeelezwa vyema sana.

Chill man. Marvel Universe sio Universe hii ya Milky Way tunayoishi.
Kwahiyo unadhani jamaa anahofu Kang atatuvamia au?? That's very lazy and silly writing of yours 😅😅
I meant Dr Strange. Thor anamuitafa Wizzard vile nikamzoea. Si ndio ana time stone au infinity?
Doctor strange hana tena Time stone. Zilirudishwa zilipotoka na Steve ili kuepusha Nexus Event... A.k.a Breach of timeline kama alivyofanya Loki
 
Back
Top Bottom