allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,160
- 766
Lakin inaonekana Kang atakuwa mchumba kwa hero wengi sana licha ya kuonekana ana uwezo mkubwa.Kang amefanya vyema Sana kwenye Ant-man and the Wasp
Ninachotaka kuona ni nini atafanya baada ya kufanikiwa kuja duniani