brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 590
- 767
bado bale anaonekana kwa mbali, kwan hawatomueka gorr kama wa comics?
Sony wamewapa nafasi tena ya appearance ya Spiderman kwenye marvel upcoming project Ila nao wanamtaka blade a appear kwenye movie inajayo ya morbiusNaona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
Rocket anapendezesha sana movieWasipomuua Rocket basi I’m cool with yeyote atakaekufa... sio die hard Fan wa GOTG sema napenda utani wao mwingi & soundtracks ndio zinazosababisha niangalie
Nahisi ni Groot atakufa. Alijitoa mhanga mwanzo kuokoa wengine na atajitoa tena safari hii.Pole sana
Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana
Sasa zamu yako [emoji2]
Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa
Groot hatokufa hawawezi kuwa makatili kiasi hiko wamuue mara mbiliNahisi ni Groot atakufa. Alijitoa mhanga mwanzo kuokoa wengine na atajitoa tena safari hii.
Naona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
Jared Leto kila project akiifanya mm nahis inakuwa Flop na bado watu wanasema ni good actor eti,Sony wamewapa nafasi tena ya appearance ya Spiderman kwenye marvel upcoming project Ila nao wanamtaka blade a appear kwenye movie inajayo ya morbius
Yuko vizuri mkuu mfano ile aliyoekti ya mauaji ile american psycho mbona nzuri sema ya kitambo kidogoJared Leto kila project akiifanya mm nahis inakuwa Flop na bado watu wanasema ni good actor eti,
Mtu anitajie movie nzuri ya Leto usiseme Blade Runner sijawahi ikubali
Afu kweli😁😁 ila mwamba anajituma sana. Sijui nyota ndio chanzo...?😂Jared Leto kila project akiifanya mm nahis inakuwa Flop na bado watu wanasema ni good actor eti,
Mtu anitajie movie nzuri ya Leto usiseme Blade Runner sijawahi ikubali
Afu kweli😁😁 ila mwamba anajituma sana. Sijui nyota ndio chanzo...?😂
Performance anajitumaga sana anaenda extra Miles lakin wapi!... mda mwingi movie akihusika zinabumaYuko vizuri mkuu mfano ile aliyoekti ya mauaji ile american psycho mbona nzuri sema ya kitambo kidogo
Na kwenye suicide squard 2016 alivyoigiza Kama joker amempatia sana
Na hizo movie kwa mauzo ziko vizuri
Pole sana
Mi walivyomuondoa Yondu udonta walizingua sana
Sasa zamu yako [emoji2]
Na kwenye GOTG VOL 3 pia spoilers wanasema za ndani ndani kuna hati mmoja katika Gang naye anakufa
Kwa kweli, akipewa Happy Ending tutabaki na Hope anaweza akatokea tena kuliko kumuua kama Iron Man.Wasimuue wampe Happy ending na naomba wasimuue Valkyrie tafadhali
Usinikumbushe maumivu ya Morbius, Movie niliipamba ile, nikashawishi watu twende Cinemax,Naona marvel wanaset up young avengers Kuna tetesi ant man quantumania ikawa ndo first appearance,
Nasubiri mcu take kwa blade sije wakafanya upuuzi was morbius movie about vampire ila Haina damu
Halafu hao GOTG sijawafatilia kabisa zaidi ya kuwaona kwenye Avengers na nikawapenda walivyo team up na Thor,
As long as Rocket Raccon atabaki, nilimkubali sana kwenye Avengers Thor akamuita Rabbit maskini.
Happy birthday broo Mr VinciToday is my name day
View attachment 2256564
Today is my name day
View attachment 2256564
Si muvi zote zilizo wekwa humu zinahusiana na uzi. Wengi waliomo humu ni wafuatiliaji wa muvi na wanavyanzo vingi kutuzidi hata wengine akina sisi. Si vibaya kudokoa majina ya muvi kali mpya zinazotoka. Na kupitia uzi huu ni.enufaika sana na muvi wanazo nitajia wadau humu hata kama hazihusiani.Haiusiani na uzi