Marvel Cinematic Universe special thread

I haven’t seen the movie yet so I’m gonna say yeah...mayb
 
The boys ni moto mwingine..wafanye wasimuue tu the soldier boy
Hahah Kwanini? Halafu cast ya supernatural ipo humo kama yule Bob singer hili jina si hata kwenye supernatural alikuwa anaitwa bob, soldier boy kuna alikuwa Dean Winchester

Sema hii tv show ina weird shit kibao wewe episode unahiitaje Herogasm😅
 
Herogasm [emoji23]
Halafu wakamkumbuka Franchie angekuwepo eti he always wanted to see that shit.

Hivi huyu Soldier Boy ni kama vile akitoa nguvu zake anakua hajijui eeh,nieleweshwe hapo
 
love sausage 🤣
 
Herogasm [emoji23]
Halafu wakamkumbuka Franchie angekuwepo eti he always wanted to see that shit.

Hivi huyu Soldier Boy ni kama vile akitoa nguvu zake anakua hajijui eeh,nieleweshwe hapo
Hahah Franchie kila mtu akawa anamsikitikia kakosa mambo yake

Yes, huwa anapoteza control hawez ku control ile na tukio linapotokea huwa ana blackout... ni zile majaribio walizomfanyia kule russia nahis zinamsumbua

Yule ni kama bomu linalotembea ana radiation zile yuko radioactive ndio maana kuna ile meter alioachiwa Hughie alivyokaa na soldier boy akawa anaangalia, alikuwa jamaa akikasirika zile radiation level zinapanda... jamaa ni bomu linalotembea

Yule tick tack alikuwa analia help me! Alafu Homelander kaja kumkanyaga na boot [emoji23]

Ila nikizeeka nataka niwe Stan Edgar aisee yule mzee namkubali yuko very confident, kuna ile siku kamchana Homelander akamwambia “you are just a bad product” nilivunjika mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hapa sasa umenifumbua macho, nitairudia tena vizuri niliangalia usiku ile episode,

Kwa kweli wasimuue Soldier Boy binafsi nimemkubali hizo nguvu zake, warudie mpambano na homelander ampe kipigo cha Mbwa mwizi halafu akimbie tena [emoji1787]

Stan Edgar ana confidence sio ya Sayari hii, nimekumbuka hiyo scene alimwambia ni bad product, mshikaji aliumia ukizingatia Docta naye alimwambia you are my failure, dah
 
Homelander anajitahid tu ila anapata emotional damages sio za nchi hii

Speaking of emotional damage kuna na ile
Soldier boy anamwambia demu wake kuwa alimpenda Manzi anajibu “i hated you, we all did” aisee inauma ile
 
Nachoshindwa kuelewa ni kwanini soldier boy anashindwa kum-handle homelander man-to-m,an, jamaa ni walking nuclear reactor.

Kwa sasa hamna mtu mwenye furaha kama Hughie, kwa mara ya kwanza kaweza kumdindia na kumpiga(japo blows kadhaa) bully wake wa muda mrefum, homelander.
 
Homelander anajitahid tu ila anapata emotional damages sio za nchi hii

Speaking of emotional damage kuna na ile
Soldier boy anamwambia demu wake kuwa alimpenda Manzi anajibu “i hated you, we all did” aisee inauma ile
maeve nae alimjibu hivyo homelander
 
Homelander anajitahid tu ila anapata emotional damages sio za nchi hii

Speaking of emotional damage kuna na ile
Soldier boy anamwambia demu wake kuwa alimpenda Manzi anajibu “i hated you, we all did” aisee inauma ile
Na Soldier kingine kilimuuma kuona kipenzi chake alimtoa for free kwa wa Russia yaani bora wangempa Pesa angeona alihadaika na Pesa lakini free daaah inaumaaa
 
Hughie anafuraha sana kua supe,
Ngoja tuone next episode labda Soldier ataelewa kua Homelander ni Adui anahitaji kushughulikiwa japo sitaki wamuue Homelander nataka nimuone awe na mwisho wa kujutia makosa yake
 
Hughie anafuraha sana kua supe,
Ngoja tuone next episode labda Soldier ataelewa kua Homelander ni Adui anahitaji kushughulikiwa japo sitaki wamuue Homelander nataka nimuone awe na mwisho wa kujutia makosa yake
Kumuua Homelander bado nahis itachukuwa muda, maana akifa yeye hamna la maana
 
Soldier boy akimpiga Homelander si series ingeisha mapema

Ingetokea nipo kwenye writers room nisingemuua Homelander moja kwa moja ningemuacha apigwe radiation kama Kimiko then awe normal human, soldier boy awageuke kina butcher arudi kuwa brutal muuaji vile vile

Homelander awe binadamu apate radha ya kuwa powerless ateseke apate ajali, probably drowning aokolewe na deep vyombo vya habari virekodi awe humiliated waipige ile ego yake😂

aonje utamu wa kuwa normal na apitie misukosuko baada ya kipindi kupita...power zirudi tena awe ruthless kulipiza ever since jasiri haachi asili
 
Hii series sahivi imejitengeneza kuwa na stories nyingi sana ndani yake….soldier boy yuko na hughie na butcher….yule noir hatujui ana mipango gani na soldier boy…..yule mwana flash kashaua uku deep kasharudi kwenye dhambi zake za kusex na octopas(hawa huwaga wazinguaji always i.e hard to be controlled)….starlight kajitoa na katangaza ufala wa superheroes so apo anakuwa pia vulnerable kwa homelander pia…starlight na MM plan yao ni kumuua soldier boy tu na this time watakuwa against butcher….yule wonder sijui alifanywa nini na noir….uku frech na kimanzi chake wanataka kuendeleza league na warussia huku wakiwa hawajasau kuwa butcher ndio kawaleta kwenye mabalaa yote aya….yule mzee naye sijui ana mipango gani na uyu homelander….uku kile kidemu kihindi na kitoto chake bado hawajamuonyesha akizianika nguvu zake maana ni hatari yule….huku mtoto wa homelander ana hasira na butcher this time…..tutegemee lolote kwenye series wana stories nyingi za kufanya hii series kuwa the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…