juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
Yeah yule wa kwenye Loki ni Variant,So what's gonna be? Antman
Kang kaonekana sekunde chache tu ila very intimidating. Tofauti kabisa na wa kwenye loki.
Warrior version of Kang
Kivipi???Rihanna analudi ijumaa hii View attachment 2398149
Yeah jamaa kaua ndio alikuwa Highlight ya movie mle kwa maoni yangu(alikuwa analeta vibe ya Dr Strange) ... I know nilisema sitokuja humu kwa sasa but napenda movies aiseeWatched black adam..
Pierce Brosnan killed it as doctor fate. So did Aldis Hodge as hawkman.
The superman cameo was spot on.
Cyclone... Nilipenda powers za yule demu, kameua ila dr fate ni noma.Yeah jamaa kaua ndio alikuwa Highlight ya movie mle kwa maoni yangu(alikuwa analeta vibe ya Dr Strange) ... I know nilisema sitokuja humu kwa sasa but napenda movies aisee
The rock performance yake sikuikubali sana... and damn kale kademu ni [emoji91]
Nimeona aisee, November ifike nijitupe theater.Kwamba wakuu hamjaliona trailer jipya la wakanda forever?
Jamaa mbishi sema uzuri Movie iko na harakati mwanzo mwisho mpera mpera though kuna vitu havikuwepo kama kuweza ku connect audience’s emotions...mimi hawakunipata ilitaka kidg iwe kwa Dr fate pale ila sio sanaCyclone... Nilipenda powers za yule demu, kameua ila dr fate ni noma.
Hawkman anapenda ugomvi ni balaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwamba hakuna limuvi la mkono la kusukumizia wkend hii?Ila Siku hizi ndio inflation au vipi Dream Queen au wameona tunapenda Aura? bei imekuwa juu ghafla cinema and by the way seats ziko halfway booked by now, kama unataka kuwahi bora ubook mapema ila kabla ya hayo...nauliza
Hivi hii haitokuwa na preview? “Ile watch before the whole world watches” ... kwamba one day before wanaionyesha na watu mnanunua tiketi
View attachment 2408457
Accident Man 2Mwamba hakuna limuvi la mkono la kusukumizia wkend hii?
Nilisha malizana nayo punde tu ilipotokaAccident Man 2