Muvi bila story nzuri NI sawa na kuwa smartphone haina bundleAction naipa 7/10
Story 1.5/10
Sio mbaya kwa kuzugia kama wewe ni mpenda mkono.View attachment 2411494
Dodoma kuna mahala panaitwa mysterious cinematix.Wakuu for the first time inabidi leo na mimi niende Cinema. Ni kitu nimetamani toka niujue huu uzi sasa leo wacha nikajionee huwa kuna tofauti gani kuangalia movie Cinema na kuisubilia itoke copy safi.
By the way nipo Dodoma naombeni chimbo zuri nikatulize akili huko ikiwezelana mniwekee na link nikafanye booking mapema.
nimefanikiwa kufikapo na for the first time nimeangalia movie Cinema na ikiwa 3D.Dodoma kuna mahala panaitwa mysterious cinematix.
Namba yao ni hii wapigie ufanye booking 0763 149 301
Pamoja chiefnimefanikiwa kufikapo na for the first time nimeangalia movie Cinema na ikiwa 3D.
Review yangu kwa BP 9/10
inatoka trh ngapi?Sasa niingoje avatar mwezi ujao
16 December 2022inatoka trh ngapi?
Umepotea jamaaI miss you guys
All of you aiseeee
Sorry sikua online ndio naingia leo,Ila Siku hizi ndio inflation au vipi Dream Queen au wameona tunapenda Aura? bei imekuwa juu ghafla cinema and by the way seats ziko halfway booked by now, kama unataka kuwahi bora ubook mapema ila kabla ya hayo...nauliza
Hivi hii haitokuwa na preview? “Ile watch before the whole world watches” ... kwamba one day before wanaionyesha na watu mnanunua tiketi
View attachment 2408457
Pamoja chief
Mimi naipa 8/10
Mbaku bana ni comedy sana.
Namor katisha kinyama aisee.
Namor kwa kweli katisha sana mleNaipa 8/10 pia,
Shuri kamejitahidi pia nimependa zile comedies zao,
Huwezi amini yule Namori hadi mimi mtazamaji nilikua namuogopa [emoji23] sio kwa kubadilika sura kule na kulipa kisasi
My Crush huyo wa muda wote [emoji7]Chris hemsworth amepanga kuchukua mapumziko ya kuigiza baada ya kuugua ugonjwa wa alzheimer's disease.
Ugonjwa huu unaathiri sehemu ya ubongo na kusababisha mtu kupata shida ya kumbukumbu sawa na ugonjwa wa dementia.
Kweli. Pia nampongeza kuchukua hatua za haraka kujihakikishia tatizo halifiki mbali tofauti na ilivyotokea kwa mpendwa wetu ChadwickMy Crush huyo wa muda wote [emoji7]
Hizi ni habari mbaya kwa mashabiki na zaidi kwa familia yake, kupoteza kumbu kumbu kubaya sana unaweza ukaisahau familia yako [emoji26]