Sijaona sku hizi nko super busyRockett hatimaye kapata mkono wa Bucky Barnes
Guardians of the galaxy holiday special[emoji23]
Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]View attachment 2427458Rockett hatimaye kapata mkono wa Bucky Barnes
Guardians of the galaxy holiday special[emoji23]
Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Aaah mkuu, Thanos hafui dafu hapo, yaan hafurukuti kabisa. Man of steel ni man of steel tu.Tunasemaje wazee wa MCU?View attachment 2425141
Sasa mkuu grayman inakukosha nini mzee, typical CIA stories imerudiwa na kurudiwa hamna kipya pale, original bourne films zilishafanya vzuri zaidi kwenye plot ka ile....af we itakua ni wale watu ilimradi umeona mkono kwnye movie basi unaipa 10/10. Anyways cheki rating ya topgun 2 compare na rate ya hio grayman af rudi hapa.Top gun ina nini cha kuishinda Grayman?
Man of steel anapiga avengers na villain wao woteTunasemaje wazee wa MCU?View attachment 2425141
Superman anaweza wapiga wengi ila kuna wengine hawezi, ukitoa kryptonite superman ni very vulnerable kwenye ishu ya magic, yaani sana.Man of steel anapiga avengers na villain wao wote
Hivi silver surfer kawahi kuonekana kwenye movie nyngine yoyote tofaut na F4?Superman anaweza wapiga wengi ila kuna wengine hawezi, ukitoa kryptonite superman ni very vulnerable kwenye ishu ya magic, yaani sana.
Pia kuna characters ambazo hatoboi mfano;
Rune King Thor ( sentry ambae ni kama superman wa marvel ila hapo kwa rune king thor anakaa )
Scarlet witch
Gladiator
Jean Grey ( Dark Phoenix )
Silver Suffer
Franklin Richards
Dr. Strange
Hyperion
Captain Marvel
Savage Hulk ( achana na professor Hulk [emoji3] )
Hao wachache na pia yeyote ambae ni master magic user especially chaotic magic kwa sababu superman hana kinga yoyote kwenye ishu ya magic au mind control.
Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Hapana alionekana kwenye fantastic 4 tu.Hivi silver surfer kawahi kuonekana kwenye movie nyngine yoyote tofaut na F4?
Mkuu, hiyo list yako haiko fair kabisa.Superman anaweza wapiga wengi ila kuna wengine hawezi, ukitoa kryptonite superman ni very vulnerable kwenye ishu ya magic, yaani sana.
Pia kuna characters ambazo hatoboi mfano;
Rune King Thor ( sentry ambae ni kama superman wa marvel ila hapo kwa rune king thor anakaa )
Scarlet witch
Gladiator
Jean Grey ( Dark Phoenix )
Silver Suffer
Franklin Richards
Dr. Strange
Hyperion
Captain Marvel
Savage Hulk ( achana na professor Hulk [emoji3] )
Hao wachache na pia yeyote ambae ni master magic user especially chaotic magic kwa sababu superman hana kinga yoyote kwenye ishu ya magic au mind control.
Sent from my VS988 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi chief.Mkuu, hiyo list yako haiko fair kabisa.
1. Rune king thor ni level ya Superman Prime huko, na si level ya huyu superman wa kawaida.
2. Franklin Richards ni level ya The Watcher. Superman ataonewa na kubondwa sana tu. akae kwa near-omnipotents huko
3. Hyperion ni Superman bila ya moral code (ndio advantage yake hiyo). Ila naweza sema, supes atajipambania hapo.
4. Scarlet witch, jean grey na dr. Strange hawa ni magic users. Watamuonea supes. ( labda katika team ya supes waongezwe kina john constantine, zatanna, dr. Fate etc, tunaweza level playing field).
5. Gladiator. Huyu hapa wanaweza kuwa sawa, ingawa supes anaonekana kuwa na nguvu zaidi yake. ( fun fact: gladiator a.k.a Kallark, jina lake limetokana na alias ya supes, yaani "Kallark" = "Kal"(Kal-El) + "Lark"( C"lark" Kent).)
Kwa captain marvel ngoma droo.
Kwa savage hulk, well atajitetea.
Nina Swali.
Suit ya Black panther ina-absorb kinetic energy. Je, inaweza ku-absorb shockwave/punch kutoka kwa Superman au Hulk?
HakunaOi wakuu hivi green City Kuna movie theater kweli ??
Kweli hichi NI kijiji kikubwaHakuna
and hey 👋 mashabiki wenzangu bado niko nawaona, nawakubali sana
Kweli hichi NI kijiji kikubwa
11 November sio ilikuwa ni theatrical release?Black panther kwa digital 11 November mjiandae kupakua
Aisee nilichanganya mafail hapa...11 November sio ilikuwa ni theatrical release?