Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel studios upcoming project iron hart, marvels,black window, captain marvel, spider man:homecoming, thor:love and thunder, spider man:no way home, ant-man and wasp,black panther wakanda forever and shang-chi and the legend of the ten rings
 
Kuna white people huko mitandaoni imeibua mijadala wakigomea Sam wilson (Anthony mackie) kuchukua role ya NEXT-CAPTAIN AMERICA 😁 hawa watu wanachekesha sana haki.
20220710_234113.jpg

Sikumbuki kama ilitokea hivi CLACK GREGG alipomuachia role ya -director of S.H.I.E.L.D black man HENRY SIMMONS.
20220710_233934.jpg
ilitokea hata kwenye comic hata hivyo.
20220710_234200.jpg
 
Weakness ya stormbreaker ni kwamba inaweza kuwa used against Thor

ukitoa hapo naona ni more powerful kuliko ile Johnson(kwa sauti ya antman... anaiita Mjolnir eti Johnson)[emoji23]
Duuh... Mimi naona Mijonir ni powerful kuliko stormbreaker kwasababu kuinyanyua tuu na kuitumia hadi uwe worthy.!! Mapungufu ni kutokusummon bifrost tuu!!

Lakini nimeona kama stormbreaker ipo conscious vile.
 
Kuna white people huko mitandaoni imeibua mijadala wakigomea Sam wilson (Anthony mackie) kuchukua role ya NEXT-CAPTAIN AMERICA [emoji16] hawa watu wanachekesha sana haki. View attachment 2286711
Sikumbuki kama ilitokea hivi CLACK GREGG alipomuachia role ya -director of S.H.I.E.L.D black man HENRY SIMMONS.View attachment 2286708ilitokea hata kwenye comic hata hivyo.
View attachment 2286710

Kwani captain America wetu kaenda wapi mpak wamweke huyu banaa
Mi sitaki
 
Duuh... Mimi naona Mijonir ni powerful kuliko stormbreaker kwasababu kuinyanyua tuu na kuitumia hadi uwe worthy.!! Mapungufu ni kutokusummon bifrost tuu!!

Lakini nimeona kama stormbreaker ipo conscious vile.
Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.
 
Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.
Hivi kwenye Love and thunder ina maana gani kwa stormbreaker kumea mizizi baada ya kusimikwa chini kawa muda mrefu??
 
Hivi kwenye Love and thunder ina maana gani kwa stormbreaker kumea mizizi baada ya kusimikwa chini kawa muda mrefu??
Ule mpini wa stormbreaker ulitoka kwa groot, groot ni kiumbe hai jamii ya mti wa huko, so inamaana ukisimika kwa muda mrefu inamea mzizi.
 
Kwani captain America wetu kaenda wapi mpak wamweke huyu banaa
Mi sitaki
Jamaa baada ya kurudisha zile infinity stones, akaenda ku-daqnce na peggy carter, kama alivyomuahidi, akaona ndo life hilo sasa, akabaki kule.
 
Dina itabidi upange siku tukae pamoja tuzitazame hizi muvi zote pamoja niwe nakuelekeza
Tena kwa mpangilio wa matukio. sio kwa zilivyotoka.

Na series zake, mfano bila wandavision, anaweza asielewe kinagaubaga matukio ya Dr. Strange;MoM
 
Mpaka kesho bado nin imani iron man atarudi tu au mnasemaje wazee.
 
Stormbreaker ni moja ya most powerful weapons za asgard kuwahi kutengenezwa. Pia materials zilizotengeneza mijorn ndio zimetengeneza stormbreaker isipokuwa hii stormbreaker imekosa tu Odin's magic.
Sio curse?
Hadi uwe worthy
 
Tena kwa mpangilio wa matukio. sio kwa zilivyotoka.

Na series zake, mfano bila wandavision, anaweza asielewe kinagaubaga matukio ya Dr. Strange;MoM
Wanda nimeangalia bana😂😂 na doctor strange ya mwanzo na hii mpya
 
“Homelander fucked your wife and you wanna save his brat, what’s the hell is wrong with you”

The biggest burn aliopokea Butcher😁
Nimeipenda hii episode 8 aisee iko emotional yaani full packed
 
“Homelander fucked your wife and you wanna save his brat, what’s the hell is wrong with you”

The biggest burn aliopokea Butcher😁
Nimeipenda hii episode 8 aisee iko emotional yaani full packed
What the fu!ck did you say??😅
FB_IMG_16571959508391349.jpg
 
“Homelander fucked your wife and you wanna save his brat, what’s the hell is wrong with you”

The biggest burn aliopokea Butcher😁
Nimeipenda hii episode 8 aisee iko emotional yaani full packed
😂🤣😂😂

Soldier boy anatokea kizazi cha full mfumo dume, mambo mengi alikuwa anayashangaa.

Plus, Maeve kwenye hand to hand combat yuko pouwa sana sana, ule mkono aliomtembezea Homelander, nilikuwa naona ni kama wonderwoman vile, hadi ile sehemu bracelet zake zinaweza absorb zile laser za Homelander 👌
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]

Soldier boy anatokea kizazi cha full mfumo dume, mambo mengi alikuwa anayashangaa.

Plus, Maeve kwenye hand to hand combat yuko pouwa sana sana, ule mkono aliomtembezea Homelander, nilikuwa naona ni kama wonderwoman vile, hadi ile sehemu bracelet zake zinaweza absorb zile laser za Homelander [emoji108]
Yes, maeve pale kamkalisha Homelander sema alikuwa ana practice kweli kweli kipindi kile na ikalipa

besides maeve nimependa writers walivyomuandaa mpaka kujitoa muanga kuwasaidia wenzake

Unakumbuka kule alipowageuka wasimuue soldier boy...mpaka starlight akamwambia “I thought you were a hero” Maeve akamjibu kwa kusema “there is no such thing” lakini ironically baadae Maeve ndio akawa “hero” kajitoa sadaka ili awaokoe wenzie nilipenda sana, kudos kwa writers room

Kingine soldier-boy backstory ya baba ake kutomkubali kumwambia kuwa kachukua shortcut whatsoever... imetufanya tumuone na yeye ni human after all japo ni piece of shit, kwahiyo alivyokuwa anamkataa Homelander na mjukuu wake huku akimuita Homelander p*ssy attention seeker sijui [emoji23](nilicheka balaa)

Alikuwa ana maana labda plan yake ilikuwa akiwa na mtoto wake amfanye awe better man alafu akamkuta mwanae homelander ndio vile dumpster fire...

na kuna vitu niliviona vilifanana na ile riot ya capital kipindi cha trump kama niko sahihi

Hii episode nikisema niichambue ntaandika gazet... mambo hayo ya jamaa etu sio mm[emoji28]

Mwishon I felt sorry for deep...japo kuwa ana matatizo yake ila yule dem kazingua sana yaani kamuandika jamaa kitabu kabisa na kapata airtime kwenye talk-show utakuta anamponda mwana[emoji23]

Ningekuwa mm ngemfanya mengi yule demu
 
Back
Top Bottom