[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
Soldier boy anatokea kizazi cha full mfumo dume, mambo mengi alikuwa anayashangaa.
Plus, Maeve kwenye hand to hand combat yuko pouwa sana sana, ule mkono aliomtembezea Homelander, nilikuwa naona ni kama wonderwoman vile, hadi ile sehemu bracelet zake zinaweza absorb zile laser za Homelander [emoji108]
Yes, maeve pale kamkalisha Homelander sema alikuwa ana practice kweli kweli kipindi kile na ikalipa
besides maeve nimependa writers walivyomuandaa mpaka kujitoa muanga kuwasaidia wenzake
Unakumbuka kule alipowageuka wasimuue soldier boy...mpaka starlight akamwambia “I thought you were a hero” Maeve akamjibu kwa kusema “there is no such thing” lakini ironically baadae Maeve ndio akawa “hero” kajitoa sadaka ili awaokoe wenzie nilipenda sana, kudos kwa writers room
Kingine soldier-boy backstory ya baba ake kutomkubali kumwambia kuwa kachukua shortcut whatsoever... imetufanya tumuone na yeye ni human after all japo ni piece of shit, kwahiyo alivyokuwa anamkataa Homelander na mjukuu wake huku akimuita Homelander p*ssy attention seeker sijui [emoji23](nilicheka balaa)
Alikuwa ana maana labda plan yake ilikuwa akiwa na mtoto wake amfanye awe better man alafu akamkuta mwanae homelander ndio vile dumpster fire...
na kuna vitu niliviona vilifanana na ile riot ya capital kipindi cha trump kama niko sahihi
Hii episode nikisema niichambue ntaandika gazet... mambo hayo ya jamaa etu sio mm[emoji28]
Mwishon I felt sorry for deep...japo kuwa ana matatizo yake ila yule dem kazingua sana yaani kamuandika jamaa kitabu kabisa na kapata airtime kwenye talk-show utakuta anamponda mwana[emoji23]
Ningekuwa mm ngemfanya mengi yule demu