Marvel Cinematic Universe special thread

Marvel Cinematic Universe special thread

Hii simple sana, na jibu tayari wanalo. Alternate realities/universes inajibu hiyo.

Kwenye dr. strange;MoM wameonesha kina strange wa kila aina kutoka universe tofauti tofauti, hawawezi shindwa kwa xmen, plus wameshamuonesha charles xavier(professor X), wamalizie tu.
Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwamba

“Well kafa Dr strange wa universe hii i bet kutakuwa na supreme strange badass kuliko huyu kwenye alternate reality... there is no need to be sad then”

Kama Wale Illuminati walivyouwawa na wanda nkawa nawaza “okay...that was disappointing lakin i bet kutakuwa na wengine ambao ni so much more😂🙌🏽“

Umeona nachomaanisha
 
Nimekuelewa bro. Iron man yupo katika uniuverse moja hukom na hakufa wakiwa wanapigana na thanos.

pia kuna utata kidogo, kwanini strange pekee na abaki kuwa sorcerer ? Mbona cap A kawa captain Carter, captain marvel ni mwingine pia? Avengers je?

plus inaonesha xmen na inhumans(kina black bolt) tayari wapo katika current universe ya kina Captain america.
 
Thor itakuwa bado yupo yupo, hakuna avenger wa kupigana na hercules man-to-man kwa sasa. plus comics zipo hivyo{ingawa hawako comic accurate}
Nimefurahiiiii,
Bado nitaendelea kumuona my crush [emoji7][emoji1787][emoji1787]
 
Bro, Theron anajicho flani hivi akikuangalia, woi, moyo unamelt tu.

Jolie walizingua sana mkuu, then wakampa jina la Thena/Athena, a freaking goddess of war, then wao wakamdogolisha flani hivi, hata fight scenes zake zilikuwa subpar sana. Athena anamkalisha chini ares na hercules kwenye combat, mle wanatuonesha anaweweseka tu, like wtf, arya stark would have done better.

plus walivyomuua gilgamesh, man, i was sad.
Hata mie sikupenda walivyomuua mwamba, kwa mara ya kwanza japo ni my role model lakini nilitaka Thena ndio afe [emoji849], maana mule wamezingua sana ndio nini sasa kumfanya vile,

Sema nahisi Eternals 2 itakuja kivingine zaidi, labda watatufuta machozi yaliyotutoka baada ya kupoteza pesa zetu na muda kuangalia ile ya kwanza.
 
Brother hivi umeona kwamba hii theory ya Multiverse imepunguza ile thrill & stakes kuwa very high kwenye movies kama mwanzoni, kwa mantiki ya kwamba

“Well kafa Dr strange wa universe hii i bet kutakuwa na supreme strange badass kuliko huyu kwenye alternate reality... there is no need to be sad then”

Kama Wale Illuminati walivyouwawa na wanda nkawa nawaza “okay...that was disappointing lakin i bet kutakuwa na wengine ambao ni so much more[emoji23][emoji1430]“

Umeona nachomaanisha
Halafu wewe hujaiona Thor nishakushtukia wewe [emoji848][emoji2]
 
Hata mie sikupenda walivyomuua mwamba, kwa mara ya kwanza japo ni my role model wangu lakini nilitaka Thena ndio afe [emoji849], maana mule wamezingua sana ndio nini sasa kumfanya vile,

Sema nahisi Eternals 2 itakuja kivingine zaidi, labda watatufuta machozi yaliyotutoka baada ya kupoteza pesa zetu na muda kuangalia ile ya kwanza.
Eternal 2 lazima waipige vizuri watakuwa wamejifunza kutokana na makosa yao

Btw Eternals credit scene kutokea Harry styles nkaona marvel washapoteza direction, i was like..wtf 😳
 
Nimekuelewa bro. Iron man yupo katika uniuverse moja hukom na hakufa wakiwa wanapigana na thanos.

pia kuna utata kidogo, kwanini strange pekee na abaki kuwa sorcerer ? Mbona cap A kawa captain Carter, captain marvel ni mwingine pia? Avengers je?

plus inaonesha xmen na inhumans(kina black bolt) tayari wapo katika current universe ya kina Captain america.
Earth 616 kwahiyo ina X-men na Inhumans sema kama kawaida yao watatupa zile za underground operating org...mutants wanaoperate kwenye shadow kimya kama eternals...then

baada ya kuona battle of NY na invasion ya Thanos wakasema “f*ck it tunajionesha the world has seen enough shit already” that’s a lazy writing right there 😅 and no doubt a comic inaccurate

Kuhusu strange wamebadilisha kuna kwengine ni mspanish & ponytail that should be something... right😂
 
Episode ya kwanza season2 ya the boys ilikua so empty until the return of butcher Billy butcher.

Nilipenda alivyosema "don'tcha worry dad is home"

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Butcher mimi sio shabiki wake aisee namuona bully, wenzie walikuwa wanamvumilia sana

Stan edgar ndio character yangu favourite ana ile sifa ya “intimidation by intelligence” aisee character mwenyewe hiyo sifa huwa namkubali sana
 
Ndio sijaiona [emoji23][emoji1430]...sikuwa mjini ntarud next week, siangaliagi hizi chafu kwahiyo nasubir safi kidogo
Kama utarudi next week si bora ukaicheki Cinemax tu, kitu cha 3d unaburudika... Ila Thor anachekesha sana hadi kuna muda unashindwa kumuhurumia akionewa,

Alivyoiona ile Nyundo yake iliyovunjwa utachekaaaa halafu anaiambia Nyundo yake mpya eti isiwe na wivu hata yeye yupo kwenye hard time ya kukutana na Ex Hammer pamoja na Ex Girlfriend [emoji23]
 
Wanda alimtoa jasho Thanos kwenye End Game hadi akaomba msaada kwa Watoto wake..... Yupo vizuri sana
imagine kwenye endgame alikua wanda na hasira zake bwana wake kauliwa maana alimwambia "you took everything from me"
Alikua anamuua yaaani

Sasa imagine thanos angekutana na scarlet fucking witch
That mother fanta can cast a spell without saying a word.

Sasa captain marvel wa ile dunia 616 kanyonywa nguvu zake,nawaza tena zimeenda wapi zile nguvu?
Maana Scarlett witch hakua pale

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Butcher mimi sio shabiki wake aisee namuona bully, wenzie walikuwa wanamvumilia sana

Stan edgar ndio character yangu favourite ana ile sifa ya “intimidation by intelligence” aisee character mwenyewe hiyo sifa huwa namkubali sana
Yule mkongwe achana nae kabisa,ila amini tu kaka labda hautaki kuona ninachoona mm
Billy anacheza vizuri kwenye nafasi yake.
Am sure pale alipokua anashuka kwenye stairs kama ingekua ni cinema am sure watu wangepiga kelele kama walivyo furahi kumuona arya stark akikomboa dunia the same time iron man huku anaokoa dunia pia hahahahaah

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kama utarudi next week si bora ukaicheki Cinemax tu, kitu cha 3d unaburudika... Ila Thor anachekesha sana hadi kuna muda unashindwa kumuhurumia akionewa,

Alivyoiona ile Nyundo yake iliyovunjwa utachekaaaa halafu anaiambia Nyundo yake mpya eti isiwe na wivu hata yeye yupo kwenye hard time ya kukutana na Ex Hammer pamoja na Ex Girlfriend [emoji23]
aah itakuwa bado ipo kwenye list ya movie zinazoonyeshwa hapo, sawa nlifikir itakuwa imeondolewa
 
Back
Top Bottom