Marvel Cinematic Universe special thread

Now James Gunn amezingua... They are clowning Bucky wakati alikuwa more badass kuliko hata Steve.

The Winter Soldier ni one of my best movies toka mcu.
mcugirl-20221205-0001.jpg
 
Mkuu ebu elezea kwa swahili kidogo ilikuwaje
Kwenye Guardians of the Galaxy holiday special Nebula alimpa Rockett zawadi ya Christmas ambayo ilikuwa ni mkono wa chuma wa Bucky ( The Winter soldier )

Fans wa marvel wakataka kujua Nebula aliupata wapi/aliupataje mkono ule?

James Gunn ( director wa guardians of the galaxy ) akajibu hapo kuwa Nebula alikuja duniani akampiga Bucky na kumtoa huo mkono.

Sasa hapo ndio watu walipokataa kuwa Bucky sio wa kupigwa kizembe na kutolewa mkono ( wenye uwezo wa kutoa huo mkono ni wakanda tu ambao ndio wameutengeneza na kuuprogram namna ya kuutoa)

Kwa hiyo director ndio anadai Nebula ni nusu mtu na nusu cyborg ndio maana ilikuwa rahisi kwake.

Ila anasahau Bucky nae ni super soldier kama Captain America na pia mkono ule ni vibranium means ni almost indestructible na ni anajiweza sana tena sanaa.
 
Aisee kweli nilichek hapo ila sikuelewa chochote nikajua tu wanapeana mizawadi kumbe nina safari ndefu, kitu nakipenda ila kukielewa sikielewi, hongera chief mpo vizuri
 
Kwenye Guardians of the Galaxy holiday special Nebula alimpa Rockett zawadi ya Christmas ambayo ilikuwa ni mkono wa chuma wa Bucky ( The Winter soldier )

Fans wa marvel wakataka kujua Nebula aliupata wapi/aliupataje mkono ule?

James Gunn ( director wa guardians of the galaxy ) akajibu hapo kuwa Nebula alikuja duniani akampiga Bucky na kumtoa huo mkono.

Sasa hapo ndio watu walipokataa kuwa Bucky sio wa kupigwa kizembe na kutolewa mkono ( wenye uwezo wa kutoa huo mkono ni wakanda tu ambao ndio wameutengeneza na kuuprogram namna ya kuutoa)

Kwa hiyo director ndio anadai Nebula ni nusu mtu na nusu cyborg ndio maana ilikuwa rahisi kwake.

Ila anasahau Bucky nae ni super soldier kama Captain America na pia mkono ule ni vibranium means ni almost indestructible na ni anajiweza sana tena sanaa.
Naunga mkono hoja Bucky ni mtu smart sana namkubali anavyofight, uwezo wake n mkubwa sana.
 
Solid concept art, kama wataipitisha hii basi itakuwani balaa.
Shaun Harrison wampe hata nafasi kwenye creative department maana watu wengi sana wamependa hizi concept arts zake mimi nikiwa mmoja wapo.

Ona concept arts zake nyingine then nie maoni yako aisee jamaa katisha.View attachment 2437376View attachment 2437375View attachment 2437377View attachment 2437378View attachment 2437379View attachment 2437380View attachment 2437382
IMG_20221206_094828.jpg
View attachment 2437381
IMG_20221206_094807.jpg
IMG_20221206_094757.jpg
IMG_20221206_094748.jpg
IMG_20221206_094742.jpg
 
Attachments

  • IMG_20221206_094733.jpg
    IMG_20221206_094733.jpg
    50 KB · Views: 14
Solid concept art, kama wataipitisha hii basi itakuwani balaa.
Shaun Harrison wampe hata nafasi kwenye creative department maana watu wengi sana wamependa hizi concept arts zake mimi nikiwa mmoja wapo.

Ona concept arts zake nyingine then nie maoni yako aisee jamaa katisha.View attachment 2437376View attachment 2437375View attachment 2437377View attachment 2437378View attachment 2437379View attachment 2437380View attachment 2437382View attachment 2437383View attachment 2437381View attachment 2437384View attachment 2437385View attachment 2437388View attachment 2437386
Hii kitu imetulia sana.

Imagine akili ya jamaa na utajiri wa rasilimali Disney/MCU (rasilimali watu na pesa)!
Plus story line yake imetulia sana.

Hii kitu itatisha sana.
 
Watulize akili kwa visual hizo jamaa watapiga sana hela
 
Back
Top Bottom