Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.
Pia soma
"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"
"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja
Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza babdarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanxania tunachopingapinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda nk hamtotoi kwenye hiyo hoja
Tangu mjadala umenza nitajie jina la mtu aliyepinga uwekezaji. wote niliowasikia mimi wanaunga mkono uwekezaji lakini wanapinga aina vipengele vya mkataba

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI
SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanxania tunachopingapinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda nk hamtotoi kwenye hiyo hoja
Mkuu, ni kweli hatupingi mwekezaji. Ila kwa jinsi ilivyo DPW inabidi pia tuwapinge. Maana ndiyo wali waliosaini huo mkataba kwa niaba ya Serikali ya Dubai ...... kwa hiyo ni wahusika wakubwa. Kama ni mwkezaji itabidi turudi mezani ..... Binafsi nasema "NO' to DPW .....!!
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI
SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Weka ushahidi hapa, binafsi pia napinga vipengele...vile vipengele ni sawa na mwanamke anayejirahisi sana kwa mwanaume, hawezi kupata stahiki zake zote!.
Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI
SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, DK. MARY CHATANDA AMEMSHAMBULIA VIKALI MWENYEKITI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, MZEE JOSEPH BUTIKU KWAMBA ANAJIVUNJIA HESHIMA NA KUDAI AMEZUNGUMZA MAMBO YA AJABU KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 NA KUMTUHUMU KUWA SIJUI KAHONGWA KUPINGA MKATABA WA BANDARI
SOURCE; video clip ya dakika 2.02 akiwa Mkoa wa Lindi jana.
Hivi CCM imefikia huku?
Nikikumbuka CCM kipindi chetu chini ya Mwalimu nabaki nashangaa sana!
Who is Chatanda?......nani anamsikiliza kiumbe kama huyu?
Anajua hata watu wanacholilia kwenye mkataba ule?
Inachekesha sana.