Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.

Pia soma

===

"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"

"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Pumbavu kabisa
Mipasho kwenye suala.la.msingi ni kutukose Watanzania.

Janga la CCM si dogo
 
CCM chama changu.
Tulikupenda ila mwisho umekupenda zaidi.
Hakuna wajengaji wa hoja tena zaidi ya kushambulia watu binafsi.
Na hii shida imeanzia pale mlipoamua kugawana madaraka kwakurithishana.
UVCCM mpo wapi?
Mwisho ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Labda ni mwisho wako ndani ya chama baada ya kuichana kadi yako wewe mwenyewe....

UVCCM nipo hapa....

Karibu Al Kasus hapa "mandi" [emoji120]
 
Kila mtu anastahili heshima ya KUTAMBULIWA na kuthaminiwa utu wake....

Kwa hili la bandari ,komredi Butiku hayuko sahihi....anaendeshwa sana na HISIA kuliko UHALISIA.....

Miongoni mwa sifa za "think tanks" ni kurejea UHALISIA katika kuyalinda maslahi mapana ya nchi....
Dunia imebadilika...
Nyie mnataka watanzania wa aina gani kwenye masuala ya taifa lao?

1. Ambao; mkileta jambo lolote wasihoji.
2. Ambao; wakiona mwizi wabaki kuangalia tu.
3. Ambao; wakati wa uchaguzi waje wachague kivuli kwenye ballot 🗳️.
4. Ambao; umeshika jiwe na unapiga kelele ukisema huu mkate nimpe nani mwenye njaa.

Jibu tujue; 1,2,3 au 4.
Mnataka watanzania wa aina gani yaani, wasihoji lolote?
 
Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Butiku katumia uhuru wake wa kutoa maoni.
Kupingana mitizamo sio dhambi..
Usilazimishe wewe kuwa uko sahihi.
Huko nyuma yalishapitishwa mengine kwa makofi na vigelegeke kumbe mabovu.
Watu hawapingi uwekezaji, MKATABA ndio shida.
Kila upande uheshimiwe maoni yake.
Sio kila asiekubali jambo ni msaliti, pengine anaona njie nyingine sahihi kwake.
 
Unataka 50% kutoka kwa mwekezaji ?!!!

Mbona hushangai ile 3% dividend kutoka sekta ya Madini ambayo hayati JPM alipambana kote na hivi sasa kufikia 22% ?!!
Hapo sasa ndio ujue MKTABA kwanini unapigiwa kelele.
 
Hiyo Kamati Kuu na Halimashauri Kuu kama vile kikundi cha WACHAWI.

Humo ndipo wapo akina Kibajaji, Gwajima .......!!
Misikiti na makanisani tu wachawi hawakosekani....unataka CCM kiwe chama cha ndotoni na "fantasy"?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mnataka watanzania wa aina gani kwenye masuala ya taifa lao?

1. Ambao; mkileta jambo lolote wasihoji.
2. Ambao; wakiona mwizi wabaki kuangalia tu.
3. Ambao; wakati wa uchaguzi waje wachague kivuli kwenye ballot [emoji2792].
4. Ambao; umeshika jiwe na unapiga kelele ukisema huu mkate nimpe nani mwenye njaa.

Jibu tujue; 1,2,3 au 4.
Mnataka watanzania wa aina gani yaani, wasihoji lolote?
UTANZANIA ni kuhoji....

Nani ameushika "ulimi" wako USIHOJI?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Wewe ni mwenye nchi una haki ya kuhoji..

Nasi pia ni wenye nchi tuna haki ya kujibu MASWALI.....
 
Sawa..... ni Mkataba au Majadiliano.?
 
Acha kumdogosha Mungu kihivyo....

Mwenyezi Mungu hafanyi biashara....anawekeza wapi ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Mkataba na DP WORLD hakuna "ibada".....

Pale bandari "berth" 4 ataachiwa TPA....

Pale bandari hatajihusisha na masuala ya mafuta....

Pale bandari hatajihusisha na masuala ya usalama...

Pale bandari hatafukuza wafanyakazi waliopo ,hatoajiri wageni.....

Atakupa trilioni 26 kila mwaka....TICTS kakaa miaka 22 kashindwa hayo....

Mimi si mjinga wa kutojua ninahitaji nini....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni article ya ngapi kwenye mkataba wameongelewa swala la pesa?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.

Pia soma

===

"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"

"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Butiku ameshachoka atulie alee vitukuu.
 
Personal attacks huwa hazijengi zaidi ya kuharibu.
 
Sijui kuna shida gani

Hakuna mtanzania anayepinga hao DP World kuja kuwekeza bandarini .Tunahitaji wawekezaji akiwemo.DP World watanzania tunachopinga ni vipengele vibovu vilivyoko kwenye huo mkataba
.Kwa hili hata mpige yowe vipi akina Chatanda wapiga debe tupu nk hamtotoi kwenye hiyo hoja

Wapiga debe tupu muelewe hilo

Watetezi wa huo mkataba waelewe hilo
mkataba umeshapita mtaendelea kubwabwaja tu humu na ninyi ni wachache sana, kilichbaki ni kazi kuendelea
 
Arab contractors ni contractor wa mradi tu, dp world ni muwekezaji. Kweli hivi vitu unalinganisha vipi?
Ni kweli....

Hoja ni majadiliano na makubaliano yawe kwa "mkandarasi" ama mwekezaji....

Kwani hawa DP WORLD hatuna makubaliano nao?!!!

Think tanks wetu hawakuhusishwa?!!!

Unataka tuwahusishe "think tanks" kutokea wapi ?!!![emoji15][emoji1787]
 
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari.

Pia soma

===

"Bandari haijauzwa. Mi namshangaa, kaingia mzee mmoja jana naheshima zake, sitaki kumtaja jina lakini mzee na heshima zake anajivunjia heshima. Amezungumza mambo ya ajabu kabisa kwenye kipindi cha dakika 45, nayeye sijui kahongwa, ambaye sikumtarajia"

"Nakuja njiani namsikia Dkt. Slaa anazungumza live, yule Dkt. Slaa ameona kaachwa kwenye ubalozi, alivyopewa ubalozi mbona alikuwa hasemi? "
Huyu Mary Chatanda ana kifafa cha mimba za utotoni kinamsumbua.
 
Eti huyo ndiye huyo Maria Kitanda
FB_IMG_1687274664760.jpg
 
Back
Top Bottom