Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Itafute mwenyewe....weka clip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafute mwenyewe....weka clip
Unamdogosha komredi Mary Chatanda?!!!Hivi CCM imefikia huku?
Nikikumbuka CCM kipindi chetu chini ya Mwalimu nabaki nashangaa sana!
Who is Chatanda?......nani anamsikiliza kiumbe kama huyu?
Anajua hata watu wanacholilia kwenye mkataba ule?
Inachekesha sana.
Unataka 50% kutoka kwa mwekezaji ?!!!Weka ushahidi hapa, binafsi pia napinga vipengele...vile vipengele ni sawa na mwanamke anayejirahisi sana kwa mwanaume, hawezi kupata stahiki zake zote!.
Kuna shida mahali kuna cheo ukishika kama mjumbe wa kamati kubweka tu hovyohovyo hakufai akiambiwa alete ushahidi wa Butiku kuhongwa anao?Hivi CCM imefikia huku?
Nikikumbuka CCM kipindi chetu chini ya Mwalimu nabaki nashangaa sana!
Who is Chatanda?......nani anamsikiliza kiumbe kama huyu?
Anajua hata watu wanacholilia kwenye mkataba ule?
Inachekesha sana.
CCM ni wauwaji eti...huvi huyu jamaa pichani aliponaga kweli jamani!!
Baadaye alifanyiwa upasuaji wa kichwa baada ya kupigwa tofali na Aden Rage , kwa sasa anaendelea vizuriCCM ni wauwaji eti...huvi huyu jamaa pichani aliponaga kweli jamani!!
Kama ni Mbowe tu ni kwanini mnamshambulia kila mtu? Kwanini kila anayetofautiana na Mkataba mnamuona kahongwa?MBOWE.....
Sipo hapa kubishana.Unamdogosha komredi Mary Chatanda?!!!
CCM ni imani....kwani komredi Butiku ni muumini pekee wa imani nzito ya CCM kutushinda wote tuliopikwa humo ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hivi shule tunakwenda kusomea uliberali wa kusuka nywele watoto wa kiume?!![emoji1787]
Exactly [emoji817]Kuna shida mahali kuna cheo ukishika kama mjumbe wa kamati kubweka tu hovyohovyo hakufai akiambiwa alete ushahidi wa Butiku kuhongwa anao?
Ajikite kwenye vipengele vya mkataba kuwa kipengele hiki kinasema hivi je ni kizuri kwa nchi au la aende kimoja baada ya kingine
Asiongee tu kama kasuku
Hawapo , wote tunapinga vipengele , ndo mana ya neno kuuzwa linaibuka , ni kutokana na vipengele , na mwekezaji ni mzuri Tu na kaz zake zinajulikana tatizo viongozi wetu tunashindwa kuelewa inakuwaje wanaaprove vipengele vibovu kama hvyo , hapa ndo tunaanza kutiliana mashaka kuhusu Utanzania wa viongozi wetu , huenda wenzetu Wana agenda zingineWewe huu ndo msimamo wako na wengine..
Lakini wapo wanaopinga kabisa uwekezaji..
Arab contractors ni contractor wa mradi tu, dp world ni muwekezaji. Kweli hivi vitu unalinganisha vipi?Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Mkuu leo naona umekuwa mpole, hata mimi nakataa sababu za kubinafsi bandari zetu za kiwaki.Labda wewe huwasikikizi vizuri..
Shivji anataka serikali iendeshe Bandari...
Pengo kauliza kwanini hatuwezi endesha wenyewe Bandari...
Tibaijuka kasema Dubai ni mpinzani wetu wa blah blah gani sijui..
Mwambukusi kasema Bandari ni mpaka hatuwezi wapa wawekezaji mpaka....the list goes on...
Sikiliza vizuri uwaelewe...
Sio wote wanaosema vipengele virekebishwe..
Hadi leo bado hayupo sawa, anaitwa Arnold swai. Kuna kipindi michango ilifanyika kumsaidiaBaadaye alifanyiwa upasuaji wa kichwa baada ya kupigwa tofali na Aden Rage , kwa sasa anaendelea vizuri
Dhaifu wa nafsi wewe....Sipo hapa kubishana.
Hunijui, Sikujui.
Kwa heri.
Akina nani wanamshambulia kila mtu....Kama ni Mbowe tu ni kwanini mnamshambulia kila mtu? Kwanini kila anayetofautiana na Mkataba mnamuona kahongwa?