Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

Pumbavu kabisa
Mipasho kwenye suala.la.msingi ni kutukose Watanzania.

Janga la CCM si dogo
 
CCM chama changu.
Tulikupenda ila mwisho umekupenda zaidi.
Hakuna wajengaji wa hoja tena zaidi ya kushambulia watu binafsi.
Na hii shida imeanzia pale mlipoamua kugawana madaraka kwakurithishana.
UVCCM mpo wapi?
Mwisho ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Labda ni mwisho wako ndani ya chama baada ya kuichana kadi yako wewe mwenyewe....

UVCCM nipo hapa....

Karibu Al Kasus hapa "mandi" [emoji120]
 
Nyie mnataka watanzania wa aina gani kwenye masuala ya taifa lao?

1. Ambao; mkileta jambo lolote wasihoji.
2. Ambao; wakiona mwizi wabaki kuangalia tu.
3. Ambao; wakati wa uchaguzi waje wachague kivuli kwenye ballot 🗳️.
4. Ambao; umeshika jiwe na unapiga kelele ukisema huu mkate nimpe nani mwenye njaa.

Jibu tujue; 1,2,3 au 4.
Mnataka watanzania wa aina gani yaani, wasihoji lolote?
 
Komredi Butiku alikuwa wapi kuhoji tenda ya ARAB CONTRACTORS kupewa wamisri wa bwawa la mwalimu Nyerere kipindi cha awamu ya 5?!!!
Butiku katumia uhuru wake wa kutoa maoni.
Kupingana mitizamo sio dhambi..
Usilazimishe wewe kuwa uko sahihi.
Huko nyuma yalishapitishwa mengine kwa makofi na vigelegeke kumbe mabovu.
Watu hawapingi uwekezaji, MKATABA ndio shida.
Kila upande uheshimiwe maoni yake.
Sio kila asiekubali jambo ni msaliti, pengine anaona njie nyingine sahihi kwake.
 
Unataka 50% kutoka kwa mwekezaji ?!!!

Mbona hushangai ile 3% dividend kutoka sekta ya Madini ambayo hayati JPM alipambana kote na hivi sasa kufikia 22% ?!!
Hapo sasa ndio ujue MKTABA kwanini unapigiwa kelele.
 
Hiyo Kamati Kuu na Halimashauri Kuu kama vile kikundi cha WACHAWI.

Humo ndipo wapo akina Kibajaji, Gwajima .......!!
Misikiti na makanisani tu wachawi hawakosekani....unataka CCM kiwe chama cha ndotoni na "fantasy"?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
UTANZANIA ni kuhoji....

Nani ameushika "ulimi" wako USIHOJI?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Wewe ni mwenye nchi una haki ya kuhoji..


Nasi pia ni wenye nchi tuna haki ya kujibu MASWALI.....
 
UTANZANIA ni kuhoji....

Nani ameushika "ulimi" wako USIHOJI?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Wewe ni mwenye nchi una haki ya kuhoji..


Nasi pia ni wenye nchi tuna haki ya kujibu MASWALI.....
Sawa..... ni Mkataba au Majadiliano.?
 
Ni article ya ngapi kwenye mkataba wameongelewa swala la pesa?
 
Butiku ameshachoka atulie alee vitukuu.
 

Personal attacks huwa hazijengi zaidi ya kuharibu.
 
mkataba umeshapita mtaendelea kubwabwaja tu humu na ninyi ni wachache sana, kilichbaki ni kazi kuendelea
 
Arab contractors ni contractor wa mradi tu, dp world ni muwekezaji. Kweli hivi vitu unalinganisha vipi?
Ni kweli....

Hoja ni majadiliano na makubaliano yawe kwa "mkandarasi" ama mwekezaji....

Kwani hawa DP WORLD hatuna makubaliano nao?!!!

Think tanks wetu hawakuhusishwa?!!!

Unataka tuwahusishe "think tanks" kutokea wapi ?!!![emoji15][emoji1787]
 
Huyu Mary Chatanda ana kifafa cha mimba za utotoni kinamsumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…