Mary Chatanda: Sheria kali itungwe kupambana na Ushoga, ikiwezekana wahasiwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Kilele cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) katika Uwanja wa Uhuru Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Machi, 2023.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT), Mary Chatanda amesema wamefanya sherehe hii ili kumpongeza Rais wa kuifanya nchi ipige hatua kubwa kiuchumi na kisiasa katika kipindi cha miaka 2 aliyoongoza.

Amemshukuru Hayati Magufuli kwa kuwaamini wanawake kwenye fursa nyingi za kisiasa pamoja na kumpa nafasi Rais Samia kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na 2020.

View attachment 2557746
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT), Mary Chatanda
Amemshukuru Rais kwa kuhudhuria kongamano la Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), tendo linaloonesha kuwa siasa sio uadui. Pia, kukubali kuikwamua katiba mpya pamoja na kushiriki kwenye maridhiano ni mambo yanayoonesha uongozi mzuri wa Rais Samia.

Aidha, amesema UWT ipo kwenye hatua za mwisho za kuleta ripoti ya uchunguzi wa Ukatili wa kijinsia na watoto uliofanyika kwenye vituo vya polisi ili hatua kali zichukuliwe kwa wahusika. Pamoja na hilo, amesema mipango endelevu ya kukemea mapenzi ya jinsia moja (Ushoga) iwepo, sheria kali zitungwe kuwadhibu wahusika kwa kuwa ni kinyume cha utamaduni wa kitanzania.

“Hapa, Serikali ifanye marekebisho ya sheria hizi, na kuleta sheria kali kabisa Mhe. Rais, ikiwezekana hawa watu wakipatikana Wahasiwe, maana kuendelea kuwaacha hivihivi hawa, wataendelea kuliharibu taifa letu”

RAIS SAMIA
Amesema wakati wanapewa Madaraka alibezwa sana. Jambo hili lilimpa ujasiri wa kupuuza maneno hayo na kumpa nguvu na ujasiri wa kuchapa kazi na kusonga mbele. Hadi sasa, hakuna mradi uliosimama kutekelezwa.

View attachment 2557773
Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Amewashukuru BAWACHA kwa kuandaa kongamano kubwa na zuri kwenye kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani. Amevitaka vyama vingine vya siasa kuiga mfano huo, ikiwezekana waandae pia miaka ijayo na yeye atakubali kushirikiana nao.

Wakihasiwa siyo ndiyo kutakuwa na mashoga wengi.
 
Acha dharau wewe!
Toa maana ya kauli Yako.

Kusema kuwa karithi ni dharau??

Ni lini tulimpigia kura kwa nafasi yake??

Hata hiyo 2025 itakuwa kwa kulazimisha tu.
 
Mama nakishukuru Kwa Katiba mpya mengine yanazungumzika.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Samia kitu pekee anawazidi wanaccm wenzake wengi ni kuwa tiyari kujadiliana linapokuja swala la maslahi ya wengi,,Ccm ni walafi lakini angalau Samia ana aibu kidogo!! Aungwe mkono tupiganie maslahi ya nchi,,,nachompendea ni Utashi sema Yuko chama lafi chichiemu
 
Toa maana ya kauli Yako.

Kusema kuwa karithi ni dharau??

Ni lini tulimpigia kura kwa nafasi yake??

Hata hiyo 2025 itakuwa kwa kulazimisha tu.
Wakati unaenda kupiga kura 2020 hukumuona pembeni!?? Na Kama hangekuwepo Magufuli hazingeruhusiwa kugombea hivyo uliwachagua wote kwa pamoja
 
Kwani alichukua fomu akapitishwa na Nec na Chama??

Si Magufuli alimteua kuwa mwenza??
 
Wakuitwa mabeberu wakiamka wenzie wasije kumkana
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Kilele cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita iliyoandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) katika Uwanja wa Uhuru Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Machi, 2023.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT), Mary Chatanda amesema wamefanya sherehe hii ili kumpongeza Rais wa kuifanya nchi ipige hatua kubwa kiuchumi na kisiasa katika kipindi cha miaka 2 aliyoongoza.

Amemshukuru Hayati Magufuli kwa kuwaamini wanawake kwenye fursa nyingi za kisiasa pamoja na kumpa nafasi Rais Samia kuwa mgombea mwenza kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na 2020.

View attachment 2557746
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT), Mary Chatanda
Amemshukuru Rais kwa kuhudhuria kongamano la Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), tendo linaloonesha kuwa siasa sio uadui. Pia, kukubali kuikwamua katiba mpya pamoja na kushiriki kwenye maridhiano ni mambo yanayoonesha uongozi mzuri wa Rais Samia.

Aidha, amesema UWT ipo kwenye hatua za mwisho za kuleta ripoti ya uchunguzi wa Ukatili wa kijinsia na watoto uliofanyika kwenye vituo vya polisi ili hatua kali zichukuliwe kwa wahusika. Pamoja na hilo, amesema mipango endelevu ya kukemea mapenzi ya jinsia moja (Ushoga) iwepo, sheria kali zitungwe kuwadhibu wahusika kwa kuwa ni kinyume cha utamaduni wa kitanzania.

“Hapa, Serikali ifanye marekebisho ya sheria hizi, na kuleta sheria kali kabisa Mhe. Rais, ikiwezekana hawa watu wakipatikana Wahasiwe, maana kuendelea kuwaacha hivihivi hawa, wataendelea kuliharibu taifa letu”

RAIS SAMIA
Amesema wakati wanapewa Madaraka alibezwa sana. Jambo hili lilimpa ujasiri wa kupuuza maneno hayo na kumpa nguvu na ujasiri wa kuchapa kazi na kusonga mbele. Hadi sasa, hakuna mradi uliosimama kutekelezwa.

View attachment 2557773
Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Amewashukuru BAWACHA kwa kuandaa kongamano kubwa na zuri kwenye kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani. Amevitaka vyama vingine vya siasa kuiga mfano huo, ikiwezekana waandae pia miaka ijayo na yeye atakubali kushirikiana nao.

Amewapongeza Simba na Yanga kwa kutumia vizuri fursa aliyowapa ya kununua kila goli kwa Milioni 5. Kwa hesabu alizonazo, Simba wamelamba milioni 35 siku ya jana baada ya kuishinda Horoya FC. Amesema aliona utani Mtandaoni akimpigia Msigwa kuwa amwambie refa amalize mpira kuwa pesa haipo, sio kweli. “Wekeni mpira kwenye wavu, pesa bado zipo”

Amewataka wanawake kushiriki kikamilifu kwenye kupiganja fursa mbalimbali pasipo kusubiria wasemewe na wanaume.

Kuhusu Utawala bora na Demokrasia, Rais samia ameendelea kusisitiza kuwa yupo tayari kubadili Katiba ya Nchi kama ambavyo watu wengi wanataka. “Sifa ya mwanamke ni kujiamini, nami kama mwanamke wa CCM najiamini”. Yupo tayari kujadiliana na watu wa vyama vingine ili mambo yaende sawa.

Kwahiyo wasagaji wanawake itabidi wapigwe ribiti.
 
Na wasagaji je?
 
Back
Top Bottom