Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Umeambiwa ana duka la kuuza unga! Mlizowea kuwanyonya wakulima mnasubiri wao walime halafu nyie ndio mpange bei ya mahindi, safari hii waacheni wauze na wao wapate pesa.Muambieni ashushe bei ya unga.