Mary Chatanda: Sheria kali itungwe kupambana na Ushoga, ikiwezekana wahasiwe

Wakihasiwa siyo ndiyo kutakuwa na mashoga wengi.
 
Acha dharau wewe!
Toa maana ya kauli Yako.

Kusema kuwa karithi ni dharau??

Ni lini tulimpigia kura kwa nafasi yake??

Hata hiyo 2025 itakuwa kwa kulazimisha tu.
 
Mama nakishukuru Kwa Katiba mpya mengine yanazungumzika.
 
Reactions: Ame
Samia kitu pekee anawazidi wanaccm wenzake wengi ni kuwa tiyari kujadiliana linapokuja swala la maslahi ya wengi,,Ccm ni walafi lakini angalau Samia ana aibu kidogo!! Aungwe mkono tupiganie maslahi ya nchi,,,nachompendea ni Utashi sema Yuko chama lafi chichiemu
 
Toa maana ya kauli Yako.

Kusema kuwa karithi ni dharau??

Ni lini tulimpigia kura kwa nafasi yake??

Hata hiyo 2025 itakuwa kwa kulazimisha tu.
Wakati unaenda kupiga kura 2020 hukumuona pembeni!?? Na Kama hangekuwepo Magufuli hazingeruhusiwa kugombea hivyo uliwachagua wote kwa pamoja
 
Wakati unaenda kupiga kura 2020 hukumuona pembeni!?? Na Kama hangekuwepo Magufuli hazingeruhusiwa kugombea hivyo uliwachagua wote kwa pamoja
Kwani alichukua fomu akapitishwa na Nec na Chama??

Si Magufuli alimteua kuwa mwenza??
 
Wakuitwa mabeberu wakiamka wenzie wasije kumkana
 
Kwahiyo wasagaji wanawake itabidi wapigwe ribiti.
 
Na wasagaji je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…