Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Umeambiwa ana duka la kuuza unga! Mlizowea kuwanyonya wakulima mnasubiri wao walime halafu nyie ndio mpange bei ya mahindi, safari hii waacheni wauze na wao wapate pesa.Muambieni ashushe bei ya unga.
[emoji1787][emoji1787] pumbavuBado mnakula unga?!
Sasa tukilima wote nani ataendesha bodaboda mkuu.Mnakesha kubeti na kuendesha bodaboda nani alime?
Nendeni mkalime unga utashuka wenyewe.
Lakini kilo yaunga ilikuwa sh1000Kwan yeye ndo analima? Tetemeko tu lilitokea raia wakahitaji msaada wakaambiwa yeye hajaleta tetemeko!!!
Akiamua anaweza..hana uwezo huo
ataweza vp ikiwa uwezo hanaAkiamua anaweza..
Hata wale wa kagera walipewa misaada mbalimbali lkn akabeba rambirambi yote!! Bora kupanda kwa unga wa ugali au bora kuiba rambirambi za waathirika??Lakini kilo yaunga ilikuwa sh1000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Atashangaa ambapo na mumewe anahasiwa.
Hapo vipi 👇👇Muambieni ashushe bei ya unga.
KWANI YEYE ANADUKAMuambieni ashushe bei ya unga.
Kila Mkuu wa mkoa amefanya hilo jambo!Ma Janamke ya CCM sio Mabunifu kabisa.
Sherehe ya Miaka Miwili ya Uongozi ndio nini sasa.
Yaani yameona hii ndio best Counterattack Kwa Kongamano la BAWACHA kwenye siku ya WANAWAKE Duniani
Mama hashughuliki watanzania wa hali ya chini,yeye wenzie ni CHadema viongozi,na machawa wake walio karibu yake....Swala la chakula kushuka mzee tutafte namna ya kumtoa.Muambieni ashushe bei ya unga.