vijana 1800 wameajiriwa tra, 3000 wako jwtz, 2000 wako police, 12000 manesi na madaktari, wachieni vijana wakomavu watoe mchango, morani bila ngariba haliwezi kuwa jandoHalafu utasikia vijana wanaitwa wazembe hawajiajiri, Mama Marry Nagu namsikia toka miaka ya 90 huko mpaka leo yeye hajiajiri tu.
Nangu nyau - ndani ya viunga vya Tehrani.
unafuata nini bungeni?Amesahau Nini bungeni...
umefeli usaili tra unakuja kutusumbua huku, siukalimeHivi hawa watu mshipa na noma ndio umekufa kabisa?
Hawana aibu hata kidogo?
kwahiyo unadhani ananjaa? we vipi huwezi wakilisha watu una njaa utaishia kuwa chawaDuh mi tokea nipo mdogodogo naenda kule Oysterbay kuwatembelea ndugu zangu alikua kiongozi maana ni jirani yao sasa hv tena umri wangu umesogea bado anautaka tena,kweli njaa haina baunsa.
Ni njaa tu imeshamkuta huyo,hakika nakuambia.kwahiyo unadhani ananjaa? we vipi huwezi wakilisha watu una njaa utaishia kuwa chawa
Mental case.umefeli usaili tra unakuja kutusumbua huku, siukalime
idiotMental case.
umefeli usaili tra unakuja kutusumbua, we subiri house girl akuandalie chaiNi njaa tu imeshamkuta huyo,hakika nakuambia.
Kwa nini asijiajiri? Na kwa nini asijiunge kwenye vikundi vya wajasiriamali waombe mkopo wa asilimia 10 zile za halmashauri?Ni njaa tu imeshamkuta huyo,hakika nakuambia.
Duh,haya bhanaumefeli usaili tra unakuja kutusumbua, we subiri house girl akuandalie chai