Aibu kwao ni Somo gumu sana kuelewekaHivi hawa watu mshipa na noma ndio umekufa kabisa?
Hawana aibu hata kidogo?
vijana wametukoroga bungeni badala ya kusimamia serikali wanakuwa machawa, wengine wadangaji wanabadilisha vyama kama mabwanaKwa akina Mama waliohudumu kwenye raha katika Serikali ya nchi hii ni Mama Mary Nagu. Ni mama wa makamo nadhani ana miaka 73 kama sikosei. Ni vema sasa akapumzike na ninashangaa aloisahau nini Bungeni.
tinahitaji watu wenye uzoefu wakaisimamie serikali, wabunge ni kama ngariba hakuna ngariba kijanaHuyu Bibi amesahau nn tena Bungeni? Hizo alizonazo hazimtoshi?
Ifike hatua, hata km aibu na haya hawana, bas huruma iwepo ndani yao. Khaaah
trump anamingapi? unaona raisi kijana kaiharibu ukraneKazeeka miaka 73 bado anataka ubunge aisee
sasa kweli mbunge kama ester bulaya bungeni anafanya nini, huwezi ukamwamini hata kukushikia pochiAibu kwao ni Somo gumu sana kueleweka
Trump mwenyewe waulize wamarekanitrump anamingapi? unaona raisi kijana kaiharibu ukrane
Wanadinzia bungeni hakuna kitu cha maana wanafanyatinahitaji watu wenye uzoefu wakaisimamie serikali, wabunge ni kama ngariba hakuna ngariba kijana
Fursa mkuu hapo ananyemelea Uwaziri tena, kamiss kusafiri kula Bata na kula Nguvu za wajingaHivi hawa watu mshipa na noma ndio umekufa kabisa?
Hawana aibu hata kidogo?
vijana hakuna wanafanya bungeni, wanageuka machawa cag anaonyesha palipo na tatizo badala ya kuishughulikia serikali wanamshughulikia cag, vijana ndo wanaongoza kuumiza vijana wenzao hawana uzoefu wa uongozi wala mbinu za kiongozi, tunahitaji watu wakumwambia waziri hapo sio sawa, hapa umetudanganya.Wanadinzia bungeni hakuna kitu cha maana wanafanya
Akili zimeshafika upeo ndio maana kuna kustaafu maofisini na mahakamani wanajua kuna umri ukifika akili na mwili unaanza kuwa mgogoro hata ujitutumue vipi
Huu ni muda wa akina dot com kushika ubunge.Wanajua ni Tanzania gani wanaitaka ya kizazi chao cha sasa na kihacho
Hao wazee wa Enzi toka enzi za Mwalimu wapumzike
Kwa hiyo uzoefu watapata lini kama vijana hawapewi nafasi?, vijana ndo wanaongoza kuumiza vijana wenzao hawana uzoefu wa uongozi wala mbinu za kiongozi, tunahitaji watu wakumwambia waziri hapo sio sawa, hapa umetudanganya.
Sjira ngumu jmn, mitaani kugumuAjira hapo anawatafutia vitukuu vyake pesa, alisha kamilisha ya watoto wake na wajukuu zake,
Viinua mgongo hivyo vizee vya kike na kiume vibunge vilishalipwa tena vikubwa kuliko wafanyakazi wa serikali au mahakama waliofanya kazi miaka 40 kama vilihonga vifie mbele hukoSjira ngumu jmn, mitaani kugumu
HUyu mama ana sauti nzuri sanaWakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.
Akiwa msichana umri mdogo Mary Nagu aliolewa na babu mzee sana Professor Nagu akaona kama hamridhidhishi kitandani akawa anatembea na kijana mwenzie Mbunge Lukuvi walishawahi fumaniwa New Africa Hotel Dar es salaam. Hivyo vikongwe vitaka ubunge sasa hivi.Vilikuwa malaya tu ujanani.HUyu mama ana sauti nzuri sana