GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Halafu kwa kumbukumbu zangu kama ziko sawa ni kwamba hili jimbo la Hanang mbunge wake alikua Sumaye then alivyoondoka ndo akachukua huyu mama before hapo alikua mbunge viti maalum, so km ni ubunge wa hilo jimbo ni miaka 10 au 15 ndo amewahi kutumika... Kwenye pisi kali zilizowahi kufanya siasa za Tanzania huyo mama alikua wa moto sana..
 
Ila CCM kuna tatizo. Vijana wote hao lakini eti kibibi kinautaka
 
yaani mwijaku babalevo chifgudlove shilole harmonize ndo wawe wabunge tutakuwa na sheria za aina gani?

vijana 1800 wamechukuliwa tra hatuoni mapato yakiongezeka wala hatuoni tija huko bungeni watakuwa na jipya lipi?
 
Halafu kwa kumbukumbu zangu kama ziko sawa ni kwamba hili jimbo la Hanang mbunge wake alikua Sumaye then alivyoondoka ndo akachukua huyu mama before hapo alikua mbunge viti maalum, so km ni ubunge wa hilo jimbo ni miaka 10 au 15 ndo amewahi kutumika... Kwenye pisi kali zilizowahi kufanya siasa za Tanzania huyo mama alikua wa moto sana..
kahudumu ubunge muhula mmoja tu akimdodosha waziri mkuu alioko madarakani ujue how strong she is. ni sawa na Dr. Kimei nimsikia tangu nikiwa mtoto lakini hakuwa mbunge alikuwa mtumishi wa bank
 
kwahiyo unadhani ananjaa? we vipi huwezi wakilisha watu una njaa utaishia kuwa chawa
Ndiyo ana njaa unatakiwa ujue Viongozi wengi siyo wafanyabiashara kwahiyo wakitoka kwenye ofisi baada ya miaka 5 kupita njaa inawaingia kwasababu zile pesa za kuokota za Wananchi zinakua zimeisha. Na huyu sijui kama ajira yake ilikua na pension.
 
kahudumu ubunge muhula mmoja tu akimdodosha waziri mkuu alioko madarakani ujue how strong she is. ni sawa na Dr. Kimei nimsikia tangu nikiwa mtoto lakini hakuwa mbunge alikuwa mtumishi wa bank
Kweli mkuu, Dr. Kimei alikua mkurugenzi wa CRDB Bank kwa miaka mingi baada kuondoka CRDB ndo akagombea ubunge.. Kwa mtu kama Kimei pesa sio tatizo so kugombea ubunge ilikuwa kuongeza tu CV, Just imagine uwe mkurugenzi wa CRDB kwa miaka zaidi ya ishirini ni mchezo..
 
Ndiyo ana njaa unatakiwa ujue Viongozi wengi siyo wafanyabiashara kwahiyo wakitoka kwenye ofisi baada ya miaka 5 kupita njaa inawaingia kwasababu zile pesa za kuokota za Wananchi zinakua zimeisha. Na huyu sijui kama ajira yake ilikua na pension.
alikuwa mkurugenzi wa PSRC anakosaje pension, wewe kagombee nae kama una ubavu
 
Kweli mkuu, Dr. Kimei alikua mkurugenzi wa CRDB Bank kwa miaka mingi baada kuondoka CRDB ndo akagombea ubunge.. Kwa mtu kama Kimei pesa sio tatizo so kugombea ubunge ilikuwa kuongeza tu CV, Just imagine uwe mkurugenzi wa CRDB kwa miaka zaidi ya ishirini ni mchezo..
mkuu hawa ndo wanahitajika bungeni anaujua uchumi nje ndani, sio tunapeka bungeni mwijaku na babalevo kisa vijana
 
Vijana nendeni mkapambane naye mchukue hicho kiti badala ya kuja kulia lia mitandaoni.
 
Yule jamaa mganda sarakasi bungeni ni wa jimbo gani kati ya hanang na babati vijijini? Kama ni hanang sarakasi zake hatutaziona tena bungeni mary anaenda kumtoa
 
Wakuu,

Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.

Kwani wajukuu zake wanasemaje
 
Wakae watulie nao!
 
Back
Top Bottom