BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Sasa kama raia ni wapumbavu unategemea nini?Amesahau Nini bungeni...
Sasa kama raia ni wapumbavu unategemea nini?Amesahau Nini bungeni...
safari hii tunapeleka wabunge timamu, yale machawa yanasukumwa nje, ubunge sio ajira ni uwakilishiHuyu bibi bado hajastaafu siasa tu?!
Huyu bibi bado hajastaafu siasa tu?!
Watu hwataki kucheza mbali na jikoni kinapopikwa!View attachment 3390981Ukishangaa ya Musa basi bado hujayaona ya Firauni.
wapumbavu wako mvomero, hadi akina mwijaku wanagombea, manyara ukileta ujinga wanakupiga mshaleSasa kama raia ni wapumbavu unategemea nini?
Diabolical 😸😸umefeli usaili tra unakuja kutusumbua, we subiri house girl akuandalie chai
Wanawake hawafai kuwa viongozi mtakuja kujutaWakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.
Mary Nagu hazeeki jamani. Nimeanza kumsikia RFA miaka ya tisini nikiwa shule ya msingi mpaka leo kaibuka tena. Au alipata madaraka akiwa na miaka 20 naa!Wakuu,
Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi kadhaa na pia kuhudumu kama Waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema amerudi tena kuomba ridhaa ya wananchi kupitia chama chake ili kuendeleza kasi ya maendeleo na kulinda maslahi ya wananchi wa Hanang.
hajawahi ajiriwa RFA umemfananishaMary Nagu hazeeki jamani. Nimeanza kumsikia RFA miaka ya tisini nikiwa shule ya msingi mpaka leo kaibuka tena. Au alipata madaraka akiwa na miaka 20 naa!
Yaani hao unaona weeengi!!!vijana 1800 wameajiriwa tra, 3000 wako jwtz, 2000 wako police, 12000 manesi na madaktari, wachieni vijana wakomavu watoe mchango, morani bila ngariba haliwezi kuwa jando
Alikuwa ana "msikia" Sasa Kuna kumsikia akitangazwa na watangazaji na Kuna kumsikia akiongea yeye kama yeye ...wewe umeamua TU kuwa na jibu moja...hajawahi ajiriwa RFA umemfananisha
Mi pia nilitaka kuchukua fomu ila nikiangalia sura yangu kwenye kioo nimeshakuwa kama nalia,wacha tu niwaachie young generation...Ajira hapo anawatafutia vitukuu vyake pesa, alisha kamilisha ya watoto wake na wajukuu zake,