Pesa za wizi hizo ukiondoka kwenye ofisi na zenyewe zinakata, Viongozi wetu njaa tofauti na Viongozi wa Kenya, ni ngumu kumuona Mama Odinga akiomba kuwa kiongozi au akiomba apewe pension ya mke wa Waziri Staff, Mke wa Uhuru kenyatta anaomba nafasi ya kua kiongozi, Uyu lime ndiyo wezi wale wale, kama kweli ana pesa Bungeni kafata nini kama anataka kusaidia jamiii kwanini asianzishe taasisi ya kusaidia kundi flani kwenye jamii, mfano yule Dada Dorice Moller anayesaidia watoto jinti na pad kwa watoto wa shule na siyo kurudi serikalini kuwaibia tena wananchi, Mfano Huyu Mama Salma Kikwete si alikua na taasisi yake ya wamma ipo wapi sijui kama ata ofisi yake anaikumbuka ilkuwawapi, Baada ya Mume kutoka Ikulu taasisi yake ikafa, na Mume wake baada ya kutoka ikulu na Magufuli kumkazia akaamua kwenda kulima msoga, Baada ya Magufuli kufa karudi tena ikulu hii ninjaa na uchu wa madaraka, Kiongozi ukistaafu unatakiwa upumzike ufanye shughuli zako mfano mzuri Mizengo pinda yupo kama viongozi wa Ulaya.