Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

Hapo uliporudi na bakora ungejisikiaje kama wazazi wangekuzuia kumchapa? Mimi sehemu kama nimeenda siku moja tu wala sihangaiki na toto la mtu, nikiona kero zimezidi naaga naondoka kiroho safi.
 
Ni ugenini mkuu unapaswa kuficha uhalisia wako.
Imagine linakuja unazungumza linakupiga kofi la mdomo kwa kukushitukiza na linaambiwa " We Ivan jamani mbona hivyo" linaanza kulia kisa limeambiwa hivyo [emoji45]
Anafanyajeee!?? Hahahaha duh! Basi tu..

Huenda unasura fulani hivi ya upole... Jifunze telecommunication... Kuna uso au jicho huwa nilikilitupa mita 49 dogo anajua hii hapana.. na kuna lile la usifanye kitu bila kuuliza na la approval...

Nitaanza kuendesha warsha juu ya hili... Its a lost art.
 
Mkuu umenikumbusha miaka ya 90, nilienda kwa baba mdogo. Kuna mtoto mwenye umri ambao anaweza kutembea.
Kimbembe kilianza alipoanza kunyweshwa uji.

Akizingua anaambiwa tema mate tumpige mgeni, anatema mate kwenye kiganja chake, kisha anakuja kwangu anaipiga plus kuniachia mate yake. Mara ya kwanza sikuelewa kilichotokea, nikahisi naota. Alivyorudia mara ya pili nilimuachia konzi ambalo hadi leo hajawahi kulisahau na nikajiondokea zangu

Cha muhimu kila mtu akae nyumbani kwake na maujinga yake
 
Hapo uliporudi na bakora ungejisikiaje kama wazazi wangekuzuia kumchapa? Mimi sehemu kama nimeenda siku moja tu wala sihangaiki na toto la mtu, nikiona kero zimezidi naaga naondoka kiroho safi.
Huwezi kukurupuka kuchukua hatua kwa mtoto au familia isiyokuhusu!

Nilifanya hivyo sababu nawajua vyema na wananijua vyema kifupi nawamudu!!

Hata hivyo kabla ya kuchukua hatua nilishauliza mbona analialia sana? Wakajibu anadeka, nikawaambia wazi ngoja nimnyooshe kidogo apunguze ujinga!!

Alipokosea mtoto kujichanganya kwangu na kilio bila kujua plan iliyopo!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] umenichekesha hapo mwisho
 
Fanya hivyo mkuu, kuna wazazi kibao humu wa miaka hii ya 2015+ mitoto yao wanailea hivyo
 
Watoto kama hao inabidi warukie konzi tu...
 
Umenichekesha ulivyopakwa mate. Hahaha cha msingi kila mtu akae wapi na nini
 
Umenichekesha ulivyopakwa mate.Hahaha cha msingi kila mtu akae wapi na nini
Haya mambo ya watoto kwenda kusalimia nilikuta mjini
Mabush kwetu mtoto anatumwa tu chap na anapewa deadline awe amerudi
Lakini kusalimia sijui shangazi na nani sijui, kulikuwa hakuna hizo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…