Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?
Baada ya wengi kutawaliwa na ujinga.Hivi haya maneno/majina ya 'Tanzania Bara' na 'Tanzania Visiwani' yalianzia wapi??
Yaliingizwaje kwenye Katiba ya nchi hii??
Viongozi wa vyama vinavyojitambua hua ni wastaarabu mnoModerator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?
Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .
Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
Ila mkuu umeongea kwa uchungu mno 😂Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?
Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .
Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
Kitu kilichounda kitu kingine unasema kimekufa,how? Kwanini zanzibar ipo yenyewe haijafa?Muungano ukivunjika leo kunabakia majina ya nchi gani?Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Unalia lia nini sasa?😎Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?
Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .
Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
Tanganyika huo ubaba ilipewa na nani na kwa makubaliano yapi?Pamoja na kwamba Tanzania ni jamhuri ya himaya mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibar, bado ni sahihi kusema ni tarehe ya uhuru wa Tanzania kwa kuwa Tanganyika ndiye baba wa Zanzibar...
Tanganyika iliamua kujivua jina lake na kubeba jina jipya la Tanzania huku Zanzibar ikiendelea kubaki na jina lake...(chukua muda kutafakari hapa)...
Nani alilifuta na kwa mantiki gani.Mkuu BANDOKITITA , mtu ukiwa hujui na unajua kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukielimishwa, unaelimishika, unajua ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.
Mtu ukiwa hujui na hujui kuwa hujui, bali unajidhania unajua, wewe ni mpumba.., hata ukifundishwa hufundishiki!.
Mimi ni mwalimu humu kazi yangu kufundisha. Kabla ya kuungana tulikuwa na nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar.
Baada ya kuungana tumekuwa na nchi moja ya Tanzania, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara, iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Ni Tanganyika ndio ililifuta jina lake na kutumia Tanzania Bara, lakini Zanzibar iliendelea kutumia jina lake la Zanzibar.
P
Binti Northpole, ukiolewa, una assume jina la mumeo, jina lako la ubini linakufa!. Tanganyika imeingia kwenye ndoa ya muungano, jina la Tanganyika likafa!.Kitu kilichounda kitu kingine unasema kimekufa,how? Kwanini zanzibar ipo yenyewe haijafa?Muungano ukivunjika leo kunabakia majina ya nchi gani?
Zanzibar haijaingia kwenye hiyo ndoa?? Au bi mdogo sio LAZMA atumie jina la mumeweBinti Northpole, ukiolewa, una assume jina la mumeo, jina lako la ubini linakufa!. Tanganyika imeingia kwenye ndoa ya muungano, jina la Tanganyika likafa!.
Nimetoa onyo kali , sasa endeleeniUnalia lia nini sasa?😎
Hili siyo andiko la ChademaCHADEMA mmekosa agenda kabisa?
Tanganyika ilidumu toka Desemba 9, 1961-April 26, 1964, takriban miaka miwili na miezi 4, na kugeuka Tanzania
Haya sawa; umesikika😁Nimetoa onyo kali , sasa endeleeni
Mungu ibariki Jamhuri ya TanganyikaView attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Kwani wewe madam upo nchi gani? Zanzibar, Tanganyika au nchi za mbali?Mbona umeweka picha ya Nyerere agenda kuzuga kupiga kura?
Hiyo Tanganyika ipo?
Kama hawataki kusherekea siku ya uhuru wa Tanganyika basi waache kabisa maigizo ya Setember December.Je, Tanzania ilipata Uhuru wake kutoka kwa mkoloni gani ????
Nafikiri ni wakati muafaka wa kuepuka na kuacha kabisa upotoshaji.
Tanganyika iligeuka Tanzania? Kwa hiyo Zanzibar ni jirani yake Tanzania?Sherehe ya kuzaliwa ni ile siku mtoto amezaliwa, hivyo siku ya uhuru wa Tanganyika ni ile siku ya kupata uhuru.
Tanganyika ilidumu toka Desemba 9, 1961-April 26, 1964, takriban miaka miwili na miezi 4, na kugeuka Tanzania, hivyo maadhimisho yote ya uhuru toka hiyo 1964 ni maadhimisho ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika. Uhuru ni wa Tanganyika na maadhimisho ni ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, ila yanaadhimishwa na Tanzania, hivyo it's Tanzanian national day!.
P