Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

Maafisa mi niulize swali tu make naona mjadala mkali

Mimi huwa napata mkanganyiko hapa " Tanzania ni muungano wa nchi mbili ie Tanganyika na Zanzibar sasa rais wa Zanzibar ni Hussein mwinyi je rais wa Tanganyika ni yupi? Dr Samia suluhu ni wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania .
 
Mumeo kasema ni uhuru wa Tanzania

View attachment 2838072
Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?

Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .

Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
 
Viongozi wa vyama vinavyojitambua hua ni wastaarabu mno

20231209_231444.jpg
 
Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?

Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .

Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
Ila mkuu umeongea kwa uchungu mno 😂
 
Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Kitu kilichounda kitu kingine unasema kimekufa,how? Kwanini zanzibar ipo yenyewe haijafa?Muungano ukivunjika leo kunabakia majina ya nchi gani?
 
Moderator mnaporuhusu hawa wapumbavu kutukana humu jf mtasababisha umwagaji wa damu , huyu mjinga ninazo taarifa kwamba ametumwa kunichunguza na kunichokoza (mfuatilieni) , mnataka nijibu mapigo ili amani ya jf ivurugike ?

Mnachokitafuta kinakaribia sana kutimia , nimekuwa mpole sana lakini sasa uvumilivu umefika mwisho .

Sheria za jf mbona zinakataza mambo haya ?
Unalia lia nini sasa?😎
 
Pamoja na kwamba Tanzania ni jamhuri ya himaya mbili ambazo ni Tanganyika na Zanzibar, bado ni sahihi kusema ni tarehe ya uhuru wa Tanzania kwa kuwa Tanganyika ndiye baba wa Zanzibar...

Tanganyika iliamua kujivua jina lake na kubeba jina jipya la Tanzania huku Zanzibar ikiendelea kubaki na jina lake...(chukua muda kutafakari hapa)...
Tanganyika huo ubaba ilipewa na nani na kwa makubaliano yapi?
 
Mkuu BANDOKITITA , mtu ukiwa hujui na unajua kuwa hujui, wewe ni mjinga, ukielimishwa, unaelimishika, unajua ujinga unakutoka unakuwa mwerevu.

Mtu ukiwa hujui na hujui kuwa hujui, bali unajidhania unajua, wewe ni mpumba.., hata ukifundishwa hufundishiki!.

Mimi ni mwalimu humu kazi yangu kufundisha. Kabla ya kuungana tulikuwa na nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar.
Baada ya kuungana tumekuwa na nchi moja ya Tanzania, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara, iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

Ni Tanganyika ndio ililifuta jina lake na kutumia Tanzania Bara, lakini Zanzibar iliendelea kutumia jina lake la Zanzibar.

P
Nani alilifuta na kwa mantiki gani.
 
Kitu kilichounda kitu kingine unasema kimekufa,how? Kwanini zanzibar ipo yenyewe haijafa?Muungano ukivunjika leo kunabakia majina ya nchi gani?
Binti Northpole, ukiolewa, una assume jina la mumeo, jina lako la ubini linakufa!. Tanganyika imeingia kwenye ndoa ya muungano, jina la Tanganyika likafa!.
 
Tanganyika ilidumu toka Desemba 9, 1961-April 26, 1964, takriban miaka miwili na miezi 4, na kugeuka Tanzania

Kwahiyo mkuu kwa kauli hii unakiri kuwa Tanganyika iko hai ila kwa jina jipya la Tanzania au Tanzania Bara.

Yaani Tanganyika = Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwahiyo Tanganyika imevaa koti la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Je, Tanzania ilipata Uhuru wake kutoka kwa mkoloni gani ????
Nafikiri ni wakati muafaka wa kuepuka na kuacha kabisa upotoshaji.
Kama hawataki kusherekea siku ya uhuru wa Tanganyika basi waache kabisa maigizo ya Setember December.

Washerekes siku ya uhuru wa Zanzibar na birthday ya Tanzania yao. Sisi tutajua cha kuifanyaia Tanganyika yetu.
 
Sherehe ya kuzaliwa ni ile siku mtoto amezaliwa, hivyo siku ya uhuru wa Tanganyika ni ile siku ya kupata uhuru.

Tanganyika ilidumu toka Desemba 9, 1961-April 26, 1964, takriban miaka miwili na miezi 4, na kugeuka Tanzania, hivyo maadhimisho yote ya uhuru toka hiyo 1964 ni maadhimisho ya uhuru wa Tanzania na sio Tanganyika. Uhuru ni wa Tanganyika na maadhimisho ni ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika, ila yanaadhimishwa na Tanzania, hivyo it's Tanzanian national day!.
P
Tanganyika iligeuka Tanzania? Kwa hiyo Zanzibar ni jirani yake Tanzania?
 
Back
Top Bottom