Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Baada mwendazake kuondoka.Kwa hiyo umekiri kuna uhuru wa makahama Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada mwendazake kuondoka.Kwa hiyo umekiri kuna uhuru wa makahama Tanzania.
hao polisi ni washamba na walimbukeni,mtu kutoa opinion yake si kuvunja sheriaAnzeni kumtukana ndo mtajua kama mwanga umeonekana.
Mkoa niliopo leo asubuhi.kuna kijana mmoja katapika maneno kuwa huyu mama hafai kuwa raisi na maneno yenu yale machafu police wamepita nae kma kipanga kwa sasa yupo kuho kituoni.
Anajutia mdomo wake.
Sasa kama mnaona mwanga basi mtukaneni kama mlivyokuwa mnamtukana Magufuli.
Mbona mbunge wa Chadema mh Nusrat Henje naye alibambikiwa kesi lakini hatukani hovyo!
Bia za asubuhi zina kuchanganya nani kasema kuna uhuru?Mpumbavu wewe kunauhuru au huruma ya rais aliyepo madarakani ,mjinga mkibwa wewe sisi hatuhitaji huruma
Ndugu, hakuna lugha nyepesi na laini kwa "watawala" waovu, wabinafsi na wasiopenda wala kutenda haki dhidi ya wanaowaongoza....Yote hayo hayajalishi haina maana ya yeye kutumia maneno machafu na matusi kukosoa utawala kwani akitumia lugha ya kistaarabu atapungukiwa na nini?
Hawakuwa na haja nae tena. Mdude toka zamani ana lugha za matusi tena ya nguoni kwa viongozi. Hana maadili na ni aibu Chadema kumlea namna hii.
Kama kweli ana ngozi ngumu arudie yale matusi yake kama alivyofanya kwa JPM then ndio mtajua ni vipi kuna mambo yana mipaka.
ndomana nimekwambia unapwaya sehemu hatuhtaji nuru hatakidogo ya kupewa namtu ,liwe swala LA kisheria bila kuingiliwa na nanafasi yamtu.Bia za asubuhi zina kuchanganya nani kasema kuna uhuru?
kusema at least kidogo mwanga unaonekana hapo kuna neno uhuru?
tuliza akili kama unasoma na kuandika kwenye mijadala
Jaribu yale maneno kumwambia mama yakoMdude hajakosea, kauli yake haina shida
Kama inashida eleza shida iko wapi
😆😆😆Wembe ni ule ule ina maana kama Mh SSH atafanya yale ambayo alikuwa anayapinga kwa JIWE naye atapigwa SPANA.
Mkuu kwani sheria (katiba) yetu inasemaje kuhusu watu wanaowatukana viongozi, uwa inasema watekwe wateswe na kisha wabambikiwe madawa ya kulevya? Nauliza tu nieleweshwe mkuu.Hawakuwa na haja nae tena. Mdude toka zamani ana lugha za matusi tena ya nguoni kwa viongozi. Hana maadili na ni aibu Chadema kumlea namna hii.
Kama kweli ana ngozi ngumu arudie yale matusi yake kama alivyofanya kwa JPM then ndio mtajua ni vipi kuna mambo yana mipaka.
Jamaa huwa hakosoi anatukana kabisa...Hawakuwa na haja nae tena. Mdude toka zamani ana lugha za matusi tena ya nguoni kwa viongozi. Hana maadili na ni aibu Chadema kumlea namna hii.
Kama kweli ana ngozi ngumu arudie yale matusi yake kama alivyofanya kwa JPM then ndio mtajua ni vipi kuna mambo yana mipaka.
Hebu tuoneshe hilo tusi la Mdude punguza mihemko.Anajua akina Kibatara watamtetea tena! Stupid arrogance.
Rais anakosolewa kwa staha, kuheshimu Mkuu wa nchi ni lazima hata vitabu vya dini vinaelekeza. Huwezi kuzungumzia Rais kama unaongea na wahuni.
pole sana mkuuMpeni kichwa tu ila akipotea Sasa hivi ndio msahau.
Kaa tayari kwa mikutano ya hadhara muda wowote kuanzia sasaBaadhi ya wanachama na wapenzi wa CHADEMA, mmekaa kibinafsi sana, mnatumia udhaifu wa vijana aina ya mdude kujijenga. Hata rais awe mstaarabu namna gani hawezi kuvumilia matusi, kashfa na maudhi ya mdude...
Samia siyo mama yanguJaribu yale maneno kumwambia mama yako