Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Samia siyo mama yangu

Na hii tabia ya kumita mama ndiyo inayowafanya mpaniki kwa kauli ya kawaida tu kama ya Mdude.

Nashauri Samia aitwe Samia acheni kumuita mama, mkimuita mama mtaona kuwa akiwa challenged kidogo basi katukanwa!
Kwani mama lazima akuzae? Pumbavu kweli wewe
 
Msaidieni apate msaada wa counseling otherwise atawaharibia taswira ya chama

Hawasaidii wala hajisaidii kuuzungumza kwa maneno ya kukosa ustaarabu

Mheshimiwa Lissu alipitia magumu mbona hakosoi kwa lugha za kukosa heshima

Awe mstaarabu kiasi

Atagombana na wasiohusika

Azungumze machungu lakini kubweka huku kutamtia matatani
 
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CHADEMA, mmekaa kibinafsi sana, mnatumia udhaifu wa vijana aina ya mdude kujijenga. Hata rais awe mstaarabu namna gani hawezi kuvumilia matusi, kashfa na maudhi ya mdude....
Sasa ndo umeongea kitu gani? Kama ndo mawazo eti ya kijana, basi tuna Safari ndefu mno.

Ukishakula ugali wako basi imetosha kabisa wala hautaki kuishughulisha tena akili yako kuhusu mustakabali wa Taifa.
Kuna ambao “resolves” zao ni “above family level” na ugali mtamu. Usiwapangie wengine wawe kama wewe. Eti vurugu.
 
Ni vyema pia unatambua kumbe mahakama za Tanzania zinaweza kuwapa haki wafuasi wa CDM....Kuanzia Mdude kutoka na akina Mbowe kufutiwa bond....
 
Anzeni kumtukana ndo mtajua kama mwanga umeonekana.

Mkoa niliopo leo asubuhi.kuna kijana mmoja katapika maneno kuwa huyu mama hafai kuwa raisi na maneno yenu yale machafu police wamepita nae kma kipanga kwa sasa yupo kuho kituoni.

Anajutia mdomo wake.

Sasa kama mnaona mwanga basi mtukaneni kama mlivyokuwa mnamtukana Magufuli.
Kama hiyo story yako ni kweli, basi Lissu alikuwa sahihi kuhusu rais Samia.
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia wakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
ekzaktii
 
Tambua pia, kila dola duniani ina dark side yake ambayo huwa inafanya kazi usiku na mchana .

Kuna wakati sio kila linalofanywa na Dola lazima mwananchi ujulishwe uhalisia wake bali inabaki siri ya dola na vyombo vyake...Dola kuhakikisha ulinzi wako na wewe kuwa busy na keyboad.
 
Kwahiyo kumbe mahakama ni taasisi huru kabisa.
Siyo lazima iwe hivyo. Lakini “precedence” ya mwendazake ilikuwa mbovu kabisa.
Mahakama kwa kiasi kikubwa, na pia mihimili mingine ie bunge, haikuwahi kuingiliwa kwa namna ambavyo iliingiliwa na mwendazake!

Ndiyo maana Nyerere alisema kuwa katiba iliyopo, akiingia rais fyatu anaweza kuwa dikteta ni kweli. Ndiyo maana hii katiba haifai. Simple as that.
 
Sasa ndo umeongea kitu gani? Kama ndo mawazo eti ya kijana, basi tuna Safari ndefu mno.

Ukishakula ugali wako basi imetosha kabisa wala hautaki kuishughulisha tena akili yako kuhusu mustakabali wa Taifa.
Kuna ambao “resolves” zao ni “above family level” na ugali mtamu. Usiwapangie wengine wawe kama wewe. Eti vurugu.
Sijaongea bali nimeandika. Mdude ameenda jela, je Don mbowe (mtoto wa Mbowe) amewahi kwenda jela? Watoto wa wenzao wanachuliwa kama kafara, watoto wao wanalindwa... Wapeleke watoto wao front line sio kutumia watoto wa wenzao... Unadhani wazazi wa Mdude wanapenda?
 
ajabu wanaomsifia mdude wanajificha nyuma ya simu zaoo
mwenzao akidakuliwa wanabaki kuandika free Mdude
 
Sawa aendelee na kauli zake ndio itajulikana kama alishinda mahakamani au alisamehewa
 
adakuliwe kwa kosa gani
kwani alikua waaapi takriban miaka karibu miwilii
mwambieni huyoo kijana hata akiongea bila dhihaka matusi kajeli na dharau atasikikaa tuu na ataelewekaa
mungine atasema mbona hata sisiemu wana kauli chafuu
jibuu kosa halifutwi na kosaa
waonesheni hao sisiemu kuwa nyie ndo taasisi imara inayojitambua
 
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula.

Wale wanaotaka anyamaze kama zuzu, yaani akae tu kimya kama ndondocha wa kiarabu pamoja na unyama wote aliotendewa kuanzia kule walikoshindwa kumuua baada ya Mungu na Wazungu kuingilia kati, hadi hizi njama za madawa ya kulevya, hatukuwasikia eawakikemea unyama aliotendewa, na itambulike wazi kwamba waliomtesa na ambao walitaka kumuua Mdude bado wapo na wapo madarakani, kuanzia viongozi wa juu, watekaji, polisi na wengine wengi, aliyepungua ni mmoja tu, kwahiyo tunapomkosoa Mdude kwa kauli zake tufikirie pia aliyotendewa na watu hawahawa tunaowatetea.
Huwa mnanishangaza hukumu ikitolewa tofauti na matarajio yenu mnasema majaji wanapokea maagizo toka juu,Ila ikiwafavor ni mmeishinda serikali.Jueni kua hao majaji mnaowapigia kelele ya kupokea maagizo ya kuwaumiza toka juu pia wanaweza pokea maagizo ya kutenda haki.
 
Hutowasikia Wana ccm huru wakishabikia Mambo ya ajabu bali ccm kindakindaki, maslahi na limbukeni ndo Tabia zao, kwamba wanonesha Rais anayo madaraka nani afungwe, nani achiwe, ebo na hata aibu hawana,

Back
Top Bottom