Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Samia siyo mama yangu

Na hii tabia ya kumita mama ndiyo inayowafanya mpaniki kwa kauli ya kawaida tu kama ya Mdude.

Nashauri Samia aitwe Samia acheni kumuita mama, mkimuita mama mtaona kuwa akiwa challenged kidogo basi katukanwa!
Kwani mama lazima akuzae? Pumbavu kweli wewe
 
Msaidieni apate msaada wa counseling otherwise atawaharibia taswira ya chama

Hawasaidii wala hajisaidii kuuzungumza kwa maneno ya kukosa ustaarabu

Mheshimiwa Lissu alipitia magumu mbona hakosoi kwa lugha za kukosa heshima

Awe mstaarabu kiasi

Atagombana na wasiohusika

Azungumze machungu lakini kubweka huku kutamtia matatani
 
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CHADEMA, mmekaa kibinafsi sana, mnatumia udhaifu wa vijana aina ya mdude kujijenga. Hata rais awe mstaarabu namna gani hawezi kuvumilia matusi, kashfa na maudhi ya mdude....
Sasa ndo umeongea kitu gani? Kama ndo mawazo eti ya kijana, basi tuna Safari ndefu mno.

Ukishakula ugali wako basi imetosha kabisa wala hautaki kuishughulisha tena akili yako kuhusu mustakabali wa Taifa.
Kuna ambao “resolves” zao ni “above family level” na ugali mtamu. Usiwapangie wengine wawe kama wewe. Eti vurugu.
 
Ni vyema pia unatambua kumbe mahakama za Tanzania zinaweza kuwapa haki wafuasi wa CDM....Kuanzia Mdude kutoka na akina Mbowe kufutiwa bond....
 
Kama hiyo story yako ni kweli, basi Lissu alikuwa sahihi kuhusu rais Samia.
 
ekzaktii
 
Tambua pia, kila dola duniani ina dark side yake ambayo huwa inafanya kazi usiku na mchana .

Kuna wakati sio kila linalofanywa na Dola lazima mwananchi ujulishwe uhalisia wake bali inabaki siri ya dola na vyombo vyake...Dola kuhakikisha ulinzi wako na wewe kuwa busy na keyboad.
 
Kwahiyo kumbe mahakama ni taasisi huru kabisa.
Siyo lazima iwe hivyo. Lakini “precedence” ya mwendazake ilikuwa mbovu kabisa.
Mahakama kwa kiasi kikubwa, na pia mihimili mingine ie bunge, haikuwahi kuingiliwa kwa namna ambavyo iliingiliwa na mwendazake!

Ndiyo maana Nyerere alisema kuwa katiba iliyopo, akiingia rais fyatu anaweza kuwa dikteta ni kweli. Ndiyo maana hii katiba haifai. Simple as that.
 
Sijaongea bali nimeandika. Mdude ameenda jela, je Don mbowe (mtoto wa Mbowe) amewahi kwenda jela? Watoto wa wenzao wanachuliwa kama kafara, watoto wao wanalindwa... Wapeleke watoto wao front line sio kutumia watoto wa wenzao... Unadhani wazazi wa Mdude wanapenda?
 
ajabu wanaomsifia mdude wanajificha nyuma ya simu zaoo
mwenzao akidakuliwa wanabaki kuandika free Mdude
 
Sawa aendelee na kauli zake ndio itajulikana kama alishinda mahakamani au alisamehewa
 
adakuliwe kwa kosa gani
kwani alikua waaapi takriban miaka karibu miwilii
mwambieni huyoo kijana hata akiongea bila dhihaka matusi kajeli na dharau atasikikaa tuu na ataelewekaa
mungine atasema mbona hata sisiemu wana kauli chafuu
jibuu kosa halifutwi na kosaa
waonesheni hao sisiemu kuwa nyie ndo taasisi imara inayojitambua
 
Huwa mnanishangaza hukumu ikitolewa tofauti na matarajio yenu mnasema majaji wanapokea maagizo toka juu,Ila ikiwafavor ni mmeishinda serikali.Jueni kua hao majaji mnaowapigia kelele ya kupokea maagizo ya kuwaumiza toka juu pia wanaweza pokea maagizo ya kutenda haki.
 
Hutowasikia Wana ccm huru wakishabikia Mambo ya ajabu bali ccm kindakindaki, maslahi na limbukeni ndo Tabia zao, kwamba wanonesha Rais anayo madaraka nani afungwe, nani achiwe, ebo na hata aibu hawana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…