Masahihisho kwa Wapotoshaji: Mdude Nyagali aliishinda Serikali Mahakamani, hakutolewa jela kwa Msamaha wa Rais

Kama hutaona kwamba mfumo wa mahakama umeachwa uwe huru,na kwamba serikali ikiamua huwezi kushinda kesi kirahisi,basi wewe ni wa kuonewa huruma sana.

Mimi nilikuwa naipenda CDM na nimewahi kupata kesi za kubambikiwa na jamhuri.Najua jinsi waendesha mashitaka walivyo mafundi wa kutengeneza ushahidi wa uongo na ukatiwa hatiani hata kama hujafanya kosa.

Waendesha mashitaka ambao ndiyo serikali,ndio walioamua kesi iisheje kwa kutoipa tena uzito. Na hii haijatokea bahati mbaya.

Msipotambua kuwa hii ni kwa sababu ya misimamo ya mama,hamtakuwa tofauti na punda
 
Ngoja tuone... Upepo umetoka kwa Sabaya sasa upo kwa Mdude...
 
Wacha hizo Bro, alisahemewa. DPP angeweza kukata rufaa kwa sababu aliokolewa na technicality. Hali ya hewa ni nzuri kila mahali, Rais mpole anatulazimisha wote tuige upole wake - polisi, DPP, Hakimu, CCM, etc, wamebaki CHADEMA pekee wamengangania their pound of flesh. Na bitterness ya tundulissu makanikia yake kukamatwa. Hata kina Mbowe kurudishiwa hela yao ni huruma tu hewani, Mbowe alisema wabebe majeneza na Akwilina aliuliwa wakati CHADEMA wamezuia mwendokasi. Upole waMama na huruma yake wasiibeze, wananchi hawako tayari kuanza fujo against themselves.
 
Mwalimu alipeleka watoto wake kwenye vita dhidi ya nduli Iddi Amin Dada?
The only thing ni Makongoro aliyejiunga na jeshi yeye mwenyewe.
 
Dah mkuu acha mkwara mbuzi jamvin. Magufuli kaondoka na harudi tenaaaaaaaaaa
 
..wako baadhi wa majaji wanatumika kutoa hukumu za kihuni dhidi ya wapinzani.
 
Apelekwe hospital kwanza
Akirudi ndan mnaanza michango kila siku
 
Tundu lissu alitumia lugha ya kistaarabu akapigwa risasi.
Kumuita raisi ni dikteta uchwara kwa mlengo wa kuchafua taswira ya taasisi ya uraisi ni kauli ya kistaarabu tena ya kuongelewa na mtu anaetambua sheria?
 
Wengi wanaongea kwa ushabiki Ila afahamu kwamba, DPP anaweza kukata Rufaa na atarudi ndani hata miaka kumi ijayo, atulie tu.

Ni busara na style ya Rais wa sasa ndio zimechangia hukumu Ile otherwise angekuwepo bwana yule hakuna hakimu angetoa hukumu kinyume na matakwa yake.

Saa nyingine kukaa kimya ni ushindi wa Vita pia sio kila jambo ajitutumie. Rais akitoa order ya kidizaini ataozea jela.

Kesi inapigwa tarehe ya mbali, anawekwa ndani halafu inatajwa Mara tatu tu kwa mwaka, inakaa miaka mitano ijayo sijui itamsaidia nini au wanaomsapoti watafanyaje?

Kuna wakati unapaswa mtu kujua huu ni ushindi Ila maisha tu maana mwenye nchi haogopi mtu aisee ukimuudhi hachelewi kukutoa kafara halafu wanaopiga kelele humu watapotea wote.

Ben Saanane hajulikani mpaka leo yupo wapi, watu wanaongea tu Ila mwenzao hayupo hivyo.

Apumzike kwanza
 
kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania Mahakamani.

Hakutolewa kwa Msamaha wa Rais wala hakutolewa kwa Huruma ya Mtu yeyote yule, alishinda Kesi ya kubambikwa, ya uongo iliyotungwa ili kumkomoa, shukrani kwa Chama chake na Jopo la Mawakili wake wakiongozwa na Mangula...!!!!

Wembe ni uleule
 
Huko kuishinda serikali ndiyo wembe wenyewe aliomaanisha Mdude. Kwamba kambwaga (kamnyoa) Magufuli mahakamani (wembe), na Samia akimpeleka jela atatumia mahakama (wembe) kumbwaga (kumnyoa).
 
Huko kuishinda serikali ndiyo wembe wenyewe aliomaanisha Mdude. Kwamba kambwaga (kamnyoa) Magufuli mahakamani (wembe), na Samia akimpeleka jela atatumia mahakama (wembe) kumbwaga (kumnyoa).
Hakika
 
Salute!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…