Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kama ni kweli ni mtu wa idara, basi anastahili adhabu kali.
Idara imejengwa kwa jasho na damu la wazalendo wengi. Wengine mambo makubwa waliyoyafanya wamewezesha idara kuwa hapo ilipofikia.
Bahati mbaya, Leo baadhi ya watu wasioitakia mema nchi yetu, wamelundika ndugu na jamaa zao wasio na sifa wala weledi.
Tumekosea wapi? Idara ni jicho la nchi yetu! Kama jicho likikosea inamaanisha nini? Tumeamua kuwa vipofu?
Na mwisho, samaki mmoja akioza...... nategemea sio kweli huyu ni mtu wa aina hiyo wanayoisema